The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Nawasalimu kwa jina la JMT..Kasi iendelee..
Ukweli usemwe tuu,kiufupi ni kwamba hadi sasa Rais Samia amefanikiwa kukata ngebe,Vilimi na wasiwasi wa wapinzani wake hasa Sukuma gang na Chadomo ambao waliamini angeshindwa kuongoza Nchi au labda kungekuwa na ombwe la kiungozi.
Baada ya Uongozi wake wa mwaka mmja na Miezi sasa ,Rais si tuu amefanikiwa kwenye uchumi bali amefanikiwa kwenye diplomasia na Demokrasia pia..
Hakuna mradi hata mmja umesimama au unasua sua kuanzia miradi aliyoacha Mwendazake hadi miradi mipya aliyoianzisha.
Good enough kila sekta ya Uchumi inakwenda vizuri kiasi kwamba amekuwa akiweka rekodi juu ya rekodi.
Leo hii wapinzani wake wamebakia wanatafutiza visababu vya kumkosoa lakini hawavipati na hata wakivipata Huwa havina nguvu.
Rais ameweza kusimamia mambo magumu bila kipepesa macho kama ishu ya Ngorongoro,Chanjo na mikopo na Kurejesha mchakato wa Katiba Moya.Ameweka msimamo thabiti bila kuyumba na kutembea kwenye maneno yake kwa vitendo paso kuyumbishwa wala kujigamba na kuacha wapinzani wake waone wenyewe matokeo.
My take,
Rais Samia ataweka historia ya kuwa Rais aliyefanikiwa zaidi ambae Tanzania imewahi kumpata..
Anaonekana kufaulu katikati ya changamoto lukuki.👇