Unaimba tu hakuna takwimu hapo. Kila uongozi tungeweka picha za walichokifanya jf ingejaa mapicha tu. Mwingine tumuwekee shule za kata zoote, mwingine sijui nini huko ili kukulidhisha kwa takwimu. Ni ugoro huu unaufanya.Tunatoa Takwimu na kuwaonesha kinachofanyika bila kuimba sifa za kuponda watangulizi wala kumlinganisha na Mungu kama mlivyokuwa mnafanya nyie.
Haiwezi kijaa kwa Sababu ziliwekwa Sana na haikujaa,picha zinaonesha uhalisia wa Takwimu.Unaimba tu hakuna takwimu hapo. Kila uongozi tungeweka picha za walichokifanya jf ingejaa mapicha tu. Mwingine tumuwekee shule za kata zoote, mwingine sijui nini huko ili kukulidhisha kwa takwimu. Ni ugoro huu unaufanya.
πUnaimba tu hakuna takwimu hapo. Kila uongozi tungeweka picha za walichokifanya jf ingejaa mapicha tu. Mwingine tumuwekee shule za kata zoote, mwingine sijui nini huko ili kukulidhisha kwa takwimu. Ni ugoro huu unaufanya.
Ngonjera na sanaa tu. Post takwimu na njia za kupunguza maambukizi ya UKIMWI njombe huenda utainusuru jamii yako kuliko huu ushubwada.Haiwezi kijaa kwa Sababu ziliwekwa Sana na haikujaa,picha zinaonesha uhalisia wa Takwimu.
Kama unaogopa kusoma kwa sababu utaaibika huo ni ulemavu wako ila mimi nakupa Takwimu.
Banki ya Dunia inatoa pongezi harafu wewe kenge mmja unaropoka ujinga π
π
Wakati ule miradi ilijiongelea ila kwa sasa ni chawa kucha kutwa kuongelea mafanikio .let her deliver na ma miradi yaongee yenyewe. Maana sijaona mega project iliyoibuliwa na ku stand out, badala yake ni miradi haijasimama so what kwani ilikutwa imesimama ama
Chawa hawajawahi kuwa na hoja.Jikite kwenye hoja
Huna hoja umeanza kuharisha sasa ππNgonjera na sanaa tu. Post takwimu na njia za kupunguza maambukizi ya UKIMWI njombe huenda utainusuru jamii yako kuliko huu ushubwada.
Jikite kwenye hoja iliyoko mezaniChawa hawajawahi kuwa na hoja.
Zaidi ya sgr,daraja la Busisi na Bwawa la Nyerere hakuna mradi mwingine mkubwa mkuu,miradi mingine ni ya kawaida tuu..Mega project ya nini tena wakati miradi mikubwa bado inaendelea na haijakamilika, huu utaratibu ndio ulizuia ajira mpya,nyongeza za mishahara,kupanda madaraja na wastaafu kusotea pension zao maendeleo ya vitu bila maendeleo ya watu ni mateso makubwa sana.
Kuna Channel ya Tivii ilikuwa ina segment inaitwa kishindo cha awamu ya "gwala" yaani ni kila saa kinarudiwa si ni vyema maendeleo yakasemwa kwa watu.