Ooohhh daaaa dunia inamimbiaa.....sasa dawa ARV zitaruhusiwa normal pharmacy .....ndio balaaa sasaaa..no control watu watabwia wanenepe kuendeleza ngonoMbaazi huku mtaan n ARV NDUGU
UKISIKIA TU BAR DEMU ANAKULA MBAAZI MKAUSHIE MAANA WANAKUWA WANA AFYA BALAA LAKN NDIO VILE
Una danguro? Mkuu wa wilaya asijue.Wamekuja mabinti wawil kupanga. Nikaawapangisha chumba baada ya muda Wakaanza kutembea na Wanaume za watu wa vile vyumba vingine.
Wake zao nao wakaanza back2sender wakaanza kutembea na vijana wa mtaaani. Juzi wamepigana sana kisa simu na message wale Wanandoa
Wale Vijana wa mtaani baadhi ni waathirika wanakula mbaazi mwaka wa 6 leo hiii na wameambukiza sana watoto wa shule.
Wana afya asikwambie mtu. Nawaza kukimbiaaa huu mtaa nimefikiria mwisho wataakuja dilli na wake zetu
Dj...mod Nipe wimboooo wa Lyon of judah I trust on u from Nigeria sio kwa kasihii.
Habari ya Mbezi mkuuWamekuja mabinti wawil kupanga. Nikaawapangisha chumba baada ya muda Wakaanza kutembea na Wanaume za watu wa vile vyumba vingine.