Kwa mwenendo wa vijana hawa, UKIMWI kuisha tusahau!

Sasa unahamaje mtaa kisa ngoma, wapi bongo hii hakuna ngoma?

Acha chai mzeee...
 
Naomba kujua kuhusu mbaazi na nguvu zake kwenye HiV
Mbaazi huku mtaan n ARV NDUGU
UKISIKIA TU BAR DEMU ANAKULA MBAAZI MKAUSHIE MAANA WANAKUWA WANA AFYA BALAA LAKN NDIO VILE
 
Umewapangisha wewe halafu unawaza kuwakimbia, endelea kuamini kuwa mkeo hawezi kuliwa.
 
Mbaazi huku mtaan n ARV NDUGU
UKISIKIA TU BAR DEMU ANAKULA MBAAZI MKAUSHIE MAANA WANAKUWA WANA AFYA BALAA LAKN NDIO VILE
Ooohhh daaaa dunia inamimbiaa.....sasa dawa ARV zitaruhusiwa normal pharmacy .....ndio balaaa sasaaa..no control watu watabwia wanenepe kuendeleza ngono
...
 
Wamekuja mabinti wawil kupanga. Nikaawapangisha chumba baada ya muda Wakaanza kutembea na Wanaume za watu wa vile vyumba vingine.

Wake zao nao wakaanza back2sender wakaanza kutembea na vijana wa mtaaani. Juzi wamepigana sana kisa simu na message wale Wanandoa

Wale Vijana wa mtaani baadhi ni waathirika wanakula mbaazi mwaka wa 6 leo hiii na wameambukiza sana watoto wa shule.

Wana afya asikwambie mtu. Nawaza kukimbiaaa huu mtaa nimefikiria mwisho wataakuja dilli na wake zetu

Dj...mod Nipe wimboooo wa Lyon of judah I trust on u from Nigeria sio kwa kasihii.
Una danguro? Mkuu wa wilaya asijue.
 
Habari ya Mbezi mkuu
 
Fukuza wote ila kama kula yako inategemea kodi baki nao tu
 
Tatizo wana ume wenye uwezo ni wachache wengi wameshaharibu uzima wao kwa pombe.
Acha tu wanawake watugombanie mwenye ushawishi na nguvu aliwe.
 
Ukishaona unakaa mtaa nyote mnafahamiana jua maendeleo utayasikia kwa wenzio mikoani. Hama huo mtaa
 
Back
Top Bottom