Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 821
Habari wana JF. Mimi ni mchimbaji mdogo, nimepata site nzuri ya kuchimba na kutengeneza ore ya madini ya dhahabu kwa ajili ya uchenjuaji, mtambo wa kusagia mawe kwa maana ya crusher machine ninao, na eneo linasoma ppm nzuri kwa ajili ya kupata ore nzuri ila nimekwamishwa na kitendea kazi kimoja hicho.
Hivyo mwenye nayo au mwenye uwezo wa kununua maana zipo used nyingi tu aje tuungane tugawane hisa.
Mwenye nia au uthubutu huo ani pm,
Enzi na Enzi.
Hivyo mwenye nayo au mwenye uwezo wa kununua maana zipo used nyingi tu aje tuungane tugawane hisa.
Mwenye nia au uthubutu huo ani pm,
Enzi na Enzi.