Kwa mwenye air compresor & digger drilling machine

Kwa mwenye air compresor & digger drilling machine

Digger/drill machine ni kwa ajili ya kuchoronga mwamba kwa ajili ya kupata tundu ambazo unaingiza baruti then unalipua.
Compressor ndio hutuzalisha upepo ambao unasukuma hiyo digger.


NB; KWA WALE WAHITAJI WA KUWEKEZA HII NI FURSA NZURI KAMA MTOA TANGAZO ANACHOSEMA NI CHA KWELI NA SAHIHI.
Duhhhh....
Mkuu, hapa naona umeniingiza choo cha watoto.
Digger drilling machine sio mtambo wa kuchoronga mwamba kama ulivyo andika hapo. Kuna Jambo ninafuatilia hapa ili nifanye uwiano wa equipments na tangazo alizo zitaja mtoa post
 
mkuu Offshore Seamen itakapowezekana naomba uweke tangazo hilo hapa.
Mkuu hizo gazeti nilipoweka najua zinaweza kuwa zimetolewa na mimi nimetoka kidogo.

Tuombe msaada humu jukwaani kwa aliyena gazeti za tarehe 21/08/2020 kati ya Guardian au Daily News ndipo hilo tangazo liliwekwa.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Kuchoronga
Sio kweli mkuu, kuchoronga miamba tunatumia rock driling machine kama Jack legs ama Jack hamer.
Kama hii nilio ambatanisha hapo chini.
images.jpg
 
Kuchoronga
Mkuu, hii digger driling machine inatumika kuchoronga soil land, na haitumii upepo kama rock driling machine.
Hapo chini nimeambatanisha pia picha ya digger drilling machine.
download.jpg
 
Back
Top Bottom