Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 821
Mkoa wa Geitalocation ya site ni ipi?
Toa info vizuri... Sema eneo halisiMkoa wa geita
Bei ya machine used ulizozipata zinaanzia ngap mkuuHabari wana jf. Mimi ni mchimbaji mdogo, nimepata site nzuri ya kuchimba na kutengeneza ore ya madini ya dhahabu kwa ajiri ya uchenjuaji, mtambo wa kusagia mawe kwa maana ya crusher machine ninao, naeneo linasoma ppm nzuri kwa ajiri ya kupata ore nzuri, ila nimekwamishwa na kitendea kazi kimoja hicho.
Hivyo mwenye nayo au mwenye uwezo wa kununua maana zipo used nyingi tu aje tuungane tugawane hisa.
Mwenye nia au uthubutu huo ani pm,
Enzi na Enzi.
Bei ya machine used ulizozipata zinaanzia ngap mkuu
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Toa info vizuri... Sema eneo halisi
Kama una hitaji air compressor na hizo rigger tembelea ofisi za kampuni wa Bam International waliojenga uwanja wa ndege pale terminal 3.Habari wana jf. Mimi ni mchimbaji mdogo, nimepata site nzuri ya kuchimba na kutengeneza ore ya madini ya dhahabu kwa ajiri ya uchenjuaji, mtambo wa kusagia mawe kwa maana ya crusher machine ninao, naeneo linasoma ppm nzuri kwa ajiri ya kupata ore nzuri, ila nimekwamishwa na kitendea kazi kimoja hicho.
Hivyo mwenye nayo au mwenye uwezo wa kununua maana zipo used nyingi tu aje tuungane tugawane hisa.
Mwenye nia au uthubutu huo ani pm,
Enzi na Enzi.
Kama una hitaji air compressor na hizo rigger tembelea ofisi za kampuni wa Bam International waliojenga uwanja wa ndege pale terminal 3.
Wiki hii kwenye gazeti la Daily News la Ijumaa waliweka Tangazo la kuuza vifaa vyao vyote walivyotumia wakati wa ujenzi.
Nadhani ukienda utapata mitambo mingi kwa bei nafuu wanauza kama mnada.
nime kupm tuajnge tuanze kaziHabari wana jf. Mimi ni mchimbaji mdogo, nimepata site nzuri ya kuchimba na kutengeneza ore ya madini ya dhahabu kwa ajiri ya uchenjuaji, mtambo wa kusagia mawe kwa maana ya crusher machine ninao, naeneo linasoma ppm nzuri kwa ajiri ya kupata ore nzuri, ila nimekwamishwa na kitendea kazi kimoja hicho.
Hivyo mwenye nayo au mwenye uwezo wa kununua maana zipo used nyingi tu aje tuungane tugawane hisa.
Mwenye nia au uthubutu huo ani pm,
Enzi na Enzi.
Nakupigia cm yko haiunganishwinime kupm tuajnge tuanze kazi
nime kupm tuajnge tuanzsHabari wana jf. Mimi ni mchimbaji mdogo, nimepata site nzuri ya kuchimba na kutengeneza ore ya madini ya dhahabu kwa ajiri ya uchenjuaji, mtambo wa kusagia mawe kwa maana ya crusher machine ninao, naeneo linasoma ppm nzuri kwa ajiri ya kupata ore nzuri, ila nimekwamishwa na kitendea kazi kimoja hicho.
Hivyo mwenye nayo au mwenye uwezo wa kununua maana zipo used nyingi tu aje tuungane tugawane hisa.
Mwenye nia au uthubutu huo ani pm,
Enzi na Enzi.
Nilikuwa kwenye kikaoNakupigia cm yko haiunganishwi
nime kupm tuajnge tuanzs
Nilikuwa kwenye kikao
Kwenye ofisi zao Terminal 3.Ahsante , nauzuri niliwahi fanya nao kazi! Mnada utakuwa wapi
mkuu Offshore Seamen itakapowezekana naomba uweke tangazo hilo hapa.Kwenye ofisi zao Terminal 3.
Ningekuwa karibu na nakala ya gazeti ningekuoigia picha tangazo maana waliainisha mpaka bei ya kila kifaa kuanzia gari,jenereta na mashine hizo.
wataalam wanasema ni excavationMkuu, hiyo digger drilling machine kazi yake ni ipi..??
Samahani kwa kuuliza swali, ingawa lengo ni kujifunza hapa.
Digger/drill machine ni kwa ajili ya kuchoronga mwamba kwa ajili ya kupata tundu ambazo unaingiza baruti then unalipua.Mkuu, hiyo digger drilling machine kazi yake ni ipi..??
Samahani kwa kuuliza swali, ingawa lengo ni kujifunza hapa.