Duhhhh....Digger/drill machine ni kwa ajili ya kuchoronga mwamba kwa ajili ya kupata tundu ambazo unaingiza baruti then unalipua.
Compressor ndio hutuzalisha upepo ambao unasukuma hiyo digger.
NB; KWA WALE WAHITAJI WA KUWEKEZA HII NI FURSA NZURI KAMA MTOA TANGAZO ANACHOSEMA NI CHA KWELI NA SAHIHI.
Mkuu hizo gazeti nilipoweka najua zinaweza kuwa zimetolewa na mimi nimetoka kidogo.mkuu Offshore Seamen itakapowezekana naomba uweke tangazo hilo hapa.
KuchorongaMkuu, hiyo digger drilling machine kazi yake ni ipi..??
Samahani kwa kuuliza swali, ingawa lengo ni kujifunza hapa.
Sio kweli mkuu, kuchoronga miamba tunatumia rock driling machine kama Jack legs ama Jack hamer.Kuchoronga
Mkuu, hii digger driling machine inatumika kuchoronga soil land, na haitumii upepo kama rock driling machine.Kuchoronga