Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Kwa muda Sasa mpenzi wangu amekuwa akisema (kudai) anaota NDOTO akifanya mapenzi hadi kuridhika.Na amekuwa akiota na watu(sura) tofauti tofauti anao wajuwa tena Hana ukaribu nao na akiamka anajikuta na majimaji na mwenyewe akidai ana furahia kwenye NDOTO.Kwa yeyote mwenye uelewa wa mambo haya bila kejeli nipeni ushauri wa Nini Cha kufanya ili nimsaidie hali hiyo iondoke au kuisha.