Kwa mwenye mahitaji ya nyumba za kupanga na kununua Mbezi

Kwa mwenye mahitaji ya nyumba za kupanga na kununua Mbezi

Danfordkahwa

Senior Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
187
Reaction score
14
Nyumba inapangishwa ina vyumba 2 ipo mbezi beach 350000. Call 0684709045 0629350247. Tunachaji view fees kwa ajili ya kuona nyumba ni shs 20000.kodi ya mwezi moja.
f6bb103c006ecd3a3a0f57030babcee8.jpeg
 
Yan kuja kuiangalia nyumba ili nijue moja kua nipange hapo au nisipange, unataka nikulipe 20000 kuiangalia tuu!
Haya sema kuugusa huo mlango nifungue nicheki huko ndani ni bei gani?
 
naona na bwawa la samaki migebuka hapo nje
 
Hii nyuzi naona wabongo wenzangu wanapita tu[emoji124][emoji124]
 
Wapangaji wa hizo bei hawakai mbali huko
 
Kodi ya mwezi mmoja upewe bure kabisa kwa usawa huu.
 
Laki saba kwa mwezi? Ni kubwa mno at least mngefanya laki 500, 000
 
Kwa hiyo bei halafu choo cha shimo? Punguza bei
 
Kwakweli nyumba ni nzuri na mazingira yake pia yanavutia sana. Hata bei ulio iweka naona pia sio pesa nyingi sana.
 
Back
Top Bottom