Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du! kwa hiyo akiwepo, unataka kila kitu kisimame.......... ni kukumbatiana tuuuuuuuuuuuuuu. huchoki?
mmh rose,ferds,mpo wapi?
hata joto lote la dar yeye bado akumbatiwe tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu, du hii kali
kukumbatiwa kunalipa occasionally, muda wote! du..........................:redfaces:
mi mchaga,mali zotewana JF unajua raha ya mapenzi mtu akufanyie kile unachokipenda na wewe umfanyie anachokipenda vilevile,hebu tuambizane huwa unapenda mpenzi wako akufanyie nini mnapokua pamoja? mimi huwa napenda anikumbatie frequently bila kubanduka wewe je?
wana JF unajua raha ya mapenzi mtu akufanyie kile unachokipenda na wewe umfanyie anachokipenda vilevile,hebu tuambizane huwa unapenda mpenzi wako akufanyie nini mnapokua pamoja? mimi huwa napenda anikumbatie frequently bila kubanduka wewe je?
wana jf unajua raha ya mapenzi mtu akufanyie kile unachokipenda na wewe umfanyie anachokipenda vilevile,hebu tuambizane huwa unapenda mpenzi wako akufanyie nini mnapokua pamoja? Mimi huwa napenda anikumbatie frequently bila kubanduka wewe je?