Kwa mwenye private car anaetoka arusha kwenda dsm nichangie hela ya mafuta

Kwa mwenye private car anaetoka arusha kwenda dsm nichangie hela ya mafuta

jey n

Senior Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
159
Reaction score
145
Habari wakuu naomba msaada kwa mwenye private car anaesafiri kesho kutoka Arusha kwenda dar es salaam 22/5/2022 nitachangia hela ya mafuta
 
Ukiona wanakuzingua humu..we anza kutembea mdogo mdogo tu mkuu.gari zitakukuta njiani..
 
Back
Top Bottom