Kwa mwenye tetesi kuhusu matokeo kidato cha nne 2013 yanatoka lini naomba anijuze.

Kwa mwenye tetesi kuhusu matokeo kidato cha nne 2013 yanatoka lini naomba anijuze.

Status
Not open for further replies.

Sultan_mdosse

Senior Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
145
Reaction score
16
Habari za muda huu wakuu.Ningependa kujuzwa matokeo ya kidato cha nne 2013-2014 yanatoka lini kwa anaejua si vibaya akanijuza.
 
duh! Kwakwel sijui ila wengi wanasema ni kesho mkuu
 
wote mnajipa moyo tu matokeo ndo kwanza yana fanyiwa grading and poccesion for arranging mpaka tar 20 ndo zoez linakamilika baada ya hapo wiki mbili za uhakiki after hapo mnayapa bila shaka si kazi rahis hata kdogo
 
Dah wakuu ni kweli matokeo ya form 4yanatoj kesho naomba jibu wakuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom