snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,437
- 2,043
matokeo haiwez kutoka leo coz leo ni sikukuu labda mpaka jmos yani 15/2/2014
.
Acha utoto mkuu
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
matokeo haiwez kutoka leo coz leo ni sikukuu labda mpaka jmos yani 15/2/2014
kwa mujibu wa mageti ya leo tar 13/feb yamesema, kuazia sasa muda wowote yatatangazwa . vuta subila
We kalale tu matokeo mwenz wa tano
wote mnajipa moyo tu matokeo ndo kwanza yana fanyiwa grading and poccesion for arranging mpaka tar 20 ndo zoez linakamilika baada ya hapo wiki mbili za uhakiki after hapo mnayapa bila shaka si kazi rahis hata kdogo
mbona unajikanyagakanyaga? mara yametoka,mara yakitoka majanga! mkuu usipunguzie presha zako jamii forum.
Punguzeni ghadhabu waeshimiwa.....
Kuna watu CA zao zinatuchanganya sana muda si mrefu tutayaweka
.
Kwa taarifa kuhusu cheti kilicho pote usisite kutupa taarifa kupitia
vyeti@necta.go.tz
.
Poleni na majukumu

kabla sjaangalia tokeo ntaomba money kwa maza iyo itakuwa ya msos wa nguvu o kamba