OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Imekula kwenu Serikali haina FUNGU la kutangazia mtokeo yenu!
waambie wachange
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekula kwenu Serikali haina FUNGU la kutangazia mtokeo yenu!
Habari za muda huu wakuu.Ningependa kujuzwa matokeo ya kidato cha nne 2013-2014 yanatoka lini kwa anaejua si vibaya akanijuza.
Ijumaa hii mambo uwanjani kutoka jikoni
Suala la kusema yanatoka lini usidanganywe ndugu yangu hakuna anaejua hiyo ni siri ya necta wenyewe na huwa haivuji hata kidogo. ila itakumbukwa kuwa hapo mwanzo yalikuwa yakitoka mwishini mwenzi wa1 au mwanzoni mwa mwezi wa pili kwa kuwa mtihani ulikuwa ukifanyika mwezi wa 10. Lakini ulisogezwa mbele mwezi mmoja hivyo tutarajie mwanzoni mwa mwezi wa tatu. HUENDA ikawa ila hakuna ajuaye
connection failed!results loading....
Tarehe ya uhakika ni 30th February na mda ni around 2:00PM Mkitaka kuamini sawa kama hamtaki freshi...
Tarehe ya uhakika ni 30th February na mda ni around 2:00PM Mkitaka kuamini sawa kama hamtaki freshi...
Well that was just to see how people are really serious about the results... jokes Apart nobody knows the exact date.mwezi february unaisha tar28 sasa hiyo tar30 ni ya mwezi gani?