Sultan_mdosse
Senior Member
- Nov 24, 2013
- 145
- 16
Matokeo ni tar 15 jamani
Dah wakuu ni kweli matokeo ya form 4yanatoj kesho naomba jibu wakuu
Habari za muda huu wakuu.Ningependa kujuzwa matokeo ya kidato cha nne 2013-2014 yanatoka lini kwa anaejua si vibaya akanijuza.
kwa mujibu wa mageti ya leo tar 13/feb yamesema, kuazia sasa muda wowote yatatangazwa . vuta subila
Gazeti gani???????gazeti gan? Hilo