Kwa mwenye uhitaji wa eneo la ukubwa wa heka mbili. u

Fundi mahiri wa Ujenzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Posts
5,046
Reaction score
4,447
Eneo lipo Chanika chambala
Lipo katika sehemu iliyojengwa.

Eneo linaukubwa wa heka mbili na robo. Linafaa kwa kuweka shule, ufugaji samaki, kuishi, kufyatua tofali nk.

Kuna nyumba ya kuishi ambayo bado mpya, kuna mabanda mawili ambayo hayajaezekwa na banda moja lililokamilika.

Upande wa barabara kuna frem tatu kubwa za biashara.
Nusu ya eneo lina fence iliyojengwa kwa tofali za block.

Kuna miembe kama 6 ya Kisasa, michungwa michache na matunda mengine.

Panauzwa 70mil.

Sababu za kuuzwa ni ugonjwa na kuyumba kwa uchumi.

KAMA UNA NDUGU NA JAMAA MWENYE UWEZO WA PESA HIYO MLETE APAONE, NINAUHAKIKA AKIONA HAWEZI KULIACHA.

JAMAA ANAUZA KWA HASARA SANA.
Muuzaji ni jamaa yangu.

Picha sina kwa sasa, kesho nitarecord video ili niwawekee hapa.

Atakae vutiwa
Piga 0655173113
 
Cc Mshana Jr Watu8
 
Ndio hzo picha?zake

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom