jaribu water pump type PEDROLLO ni nzurinaitaj water pump kwa ajir ya umwagiliaji kwenye shamba ekari 1 na nusu natoa maj mita 200,,,,,kwa mwnye uzoefu naomba msaada wenu wa aina,,,bei zake wapi ntapata kiurahiski
Mkuu tafuta machine ya honda water pump 2inch,inauzwa tsh700,000+mipira ya 200mts 280,000+filter 5-8mts 70,000=1,050,000 only,1-2yrs warranty.inapeleka maji up to 600mts.naitaj water pump kwa ajir ya umwagiliaji kwenye shamba ekari 1 na nusu natoa maj mita 200,,,,,kwa mwnye uzoefu naomba msaada wenu wa aina,,,bei zake wapi ntapata kiurahiski
Aina ya pump inategemea mambo kadha.
1 chanzo cha maji/mto au kisima?
2. Umeme upo?
3. Njia ya kunyunyizia maji/sprinkler au drip irrigation
etc
Kama upo dar waone watu wanaosambaza maji kwa magari Kimara na Mbezi, wanatumia sana pump za aina mbalimbali na ni wazoefu kwani wanatumia sana pump kuvuta na kusukuma maji.
Sokoni Kariako zipo pump za mafuta wanauza kati ya shilingi 280,000/= pump za inchi 2 hadi shilingi 350,000/= pump za inchi 3 za kichina lakini zinapiga mzigo miaka 2 na zaidi bila usumbufu.[/
mkuu mi niko mbeya,,,naomba ka unakumbuka aina utakua umeniraisishia kidogo maana bodhaa za mchina ziko nyingi