kwa mwenye uzoefu na water pump msaada

kwa mwenye uzoefu na water pump msaada

cannulla

Senior Member
Joined
Apr 14, 2012
Posts
110
Reaction score
175
naitaj water pump kwa ajir ya umwagiliaji kwenye shamba ekari 1 na nusu natoa maj mita 200,,,,,kwa mwnye uzoefu naomba msaada wenu wa aina,,,bei zake wapi ntapata kiurahiski
 
naitaj water pump kwa ajir ya umwagiliaji kwenye shamba ekari 1 na nusu natoa maj mita 200,,,,,kwa mwnye uzoefu naomba msaada wenu wa aina,,,bei zake wapi ntapata kiurahiski
jaribu water pump type PEDROLLO ni nzuri
 
mkuu kuhusu bei za vifaa na ubora wake ni vyema ungetafuta muda wewe mwenyewe na kuzunguka katika maduka na makampuni husika kuliko kuuulizia kwa watu kwani bei na ubora zinatofautiana na bei zinabadilika kila siku.
 
mkuu nalima tikiti maji,,,@ kijanamakini aksante,,,
 
mkuu nalima tikiti maji,,,@ kijanamakini aksante na ntazipata wapi hizi pump
 
Aina ya pump inategemea mambo kadha.

1 chanzo cha maji/mto au kisima?

2. Umeme upo?

3. Njia ya kunyunyizia maji/sprinkler au drip irrigation

etc
 
naitaj water pump kwa ajir ya umwagiliaji kwenye shamba ekari 1 na nusu natoa maj mita 200,,,,,kwa mwnye uzoefu naomba msaada wenu wa aina,,,bei zake wapi ntapata kiurahiski
Mkuu tafuta machine ya honda water pump 2inch,inauzwa tsh700,000+mipira ya 200mts 280,000+filter 5-8mts 70,000=1,050,000 only,1-2yrs warranty.inapeleka maji up to 600mts.
Bila shaka nimesomeka,ngoja niende kule kwenye jukwaa la siasa nikaone kuna nn becouse sikuwepo humu ndani kitambo sana.
 
aksante sana mkuu,,,ntaipata wap kiurahs??
 
Aina ya pump inategemea mambo kadha.

1 chanzo cha maji/mto au kisima?

2. Umeme upo?

3. Njia ya kunyunyizia maji/sprinkler au drip irrigation

etc

hakuna umeme naitaj pump ya petrol,,,,chanzo ni mto,,,ntatumia drip irrigation
 
Kama upo dar waone watu wanaosambaza maji kwa magari Kimara na Mbezi, wanatumia sana pump za aina mbalimbali na ni wazoefu kwani wanatumia sana pump kuvuta na kusukuma maji.

Sokoni Kariako zipo pump za mafuta wanauza kati ya shilingi 280,000/= pump za inchi 2 hadi shilingi 350,000/= pump za inchi 3 za kichina lakini zinapiga mzigo miaka 2 na zaidi bila usumbufu.
 
Kama upo dar waone watu wanaosambaza maji kwa magari Kimara na Mbezi, wanatumia sana pump za aina mbalimbali na ni wazoefu kwani wanatumia sana pump kuvuta na kusukuma maji.

Sokoni Kariako zipo pump za mafuta wanauza kati ya shilingi 280,000/= pump za inchi 2 hadi shilingi 350,000/= pump za inchi 3 za kichina lakini zinapiga mzigo miaka 2 na zaidi bila usumbufu.[/

mkuu mi niko mbeya,,,naomba ka unakumbuka aina utakua umeniraisishia kidogo maana bodhaa za mchina ziko nyingi
 
Back
Top Bottom