Kwa mwezi huu mpaka Aprili 5 turudishe daladala zilizoondolewa njia za mwendokasi vinginevyo mtazika

Kwa mwezi huu mpaka Aprili 5 turudishe daladala zilizoondolewa njia za mwendokasi vinginevyo mtazika

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Kama tumedhamiria kujilinda mmoja ya msiba uliopo ni wapandaji wa mwendokasi

Akitokea mgonjwa akapanda yale mabasi mtazika mpaka mkome kwa jinsi yanavyojaza hayana hewa nzuri.

Nashauri Waziri husika wa Usafiri pote yanapopita mabasi ya mwendokasi turudishe zile daladala haya kuongeza uhuru wa kutojazana/kusimamisha watu.

Tupishe marufuku kusimamisha watu mwendokasi na mabasi mengineyo.

Tusimamishe basi zinazothubutu kukatisha route ziondolewe mazima kwenye usafiri wa abiria

Kuwepo na askari kabisa wanaosimamia hivi vituo basi zisimamishe.

Nashauri muwakumbuke na watu wa Mbagala na Gongo la Mboto please
 
Acha uoga.. Malaria ndani ya wiki moja imeshaua watu wengi Duniani kuliko Corona ilivyoua tangu mlipuko utokee.. Corona is not a big threat.. Ni ugonjwa wa mafua tu ambao umekuzwa sana na Media!
Kichwa chako kina kazi ya kufugia nywele ...Kuna nchi Zina 0 malaria case na watu hawajui mbu.

Huo ugonjwa upo kwenu nchi za dunia ya tatu wewe lofa. Umewahi sikia Italia watu 50 wamekufa key malaria ndani ya mwezi mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo daladala zinarudishwa kutoka wapi mkuu?kuna mahali zimepaki?ukirudisha hiyo ruti maana yake zile zilizo ktk ruti isiyo na mwendo kasi Ndio zitahamia huko na kutengeneza ttz jipya zilipotoka.
Waongeze mabasi ya mwendo kasi maana miundo mbinu bado inaruhusu
 
Back
Top Bottom