Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 10,962 Reaction score 7,830 Aug 29, 2023 #1 Mimi natumia GB 60 kwa sh. 50,000 tena kwa kujibana sana. Wewe unatumia bando la sh ngapi kwa mwezi? Tushirikishe
Mimi natumia GB 60 kwa sh. 50,000 tena kwa kujibana sana. Wewe unatumia bando la sh ngapi kwa mwezi? Tushirikishe
Fene JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 2,824 Reaction score 4,447 Aug 29, 2023 #3 Natumia bando la sh 8k kwa mwezi Bado nipo katika mikakati kuhakikisha inapungua chini ya hapo, kutia bando daily naona ni utumwa wa hali ya juu Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Natumia bando la sh 8k kwa mwezi Bado nipo katika mikakati kuhakikisha inapungua chini ya hapo, kutia bando daily naona ni utumwa wa hali ya juu Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
kekule benzene JF-Expert Member Joined Sep 28, 2016 Posts 1,444 Reaction score 3,576 Aug 29, 2023 #5 Mchochezi said: Mimi natumia GB 60 kwa sh. 50,000 tena kwa kujibana sana. Wewe unatumia bando la sh ngapi kwa mwezi? TushirikisheView attachment 2732641 Click to expand... Najitahidi kubalance gharama, Mara nyingi data na kupiga hugharimu Kati ya 15k hadi 20k tu Hapo binafsi najibana Sana 1. Sifungui video fb, status na jamii forum 2. Data saver kila muda ipo on 3. You tube huwa natumia Mara chache mno tena nimeset low data usage
Mchochezi said: Mimi natumia GB 60 kwa sh. 50,000 tena kwa kujibana sana. Wewe unatumia bando la sh ngapi kwa mwezi? TushirikisheView attachment 2732641 Click to expand... Najitahidi kubalance gharama, Mara nyingi data na kupiga hugharimu Kati ya 15k hadi 20k tu Hapo binafsi najibana Sana 1. Sifungui video fb, status na jamii forum 2. Data saver kila muda ipo on 3. You tube huwa natumia Mara chache mno tena nimeset low data usage
Wakaz Member Joined Mar 17, 2021 Posts 92 Reaction score 279 Aug 29, 2023 #6 Binafsi kwa mwezi natumia bando si chini ya 25K Ila nipo mbioni nipunguze matumizi Ayo at least iwe ata 15K.
Binafsi kwa mwezi natumia bando si chini ya 25K Ila nipo mbioni nipunguze matumizi Ayo at least iwe ata 15K.
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 23,901 Reaction score 58,103 Aug 29, 2023 #7 imezidi sana 15k kwa mwezi