Kwa mwezi unatumia bando la Internet la sh. ngapi?

Kwa mwezi unatumia bando la Internet la sh. ngapi?

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Mimi natumia GB 60 kwa sh. 50,000 tena kwa kujibana sana. Wewe unatumia bando la sh ngapi kwa mwezi? Tushirikishe
E5BB75A3-ECF5-4BCC-8376-D02A6E6DCFC0.jpeg
 
Natumia bando la sh 8k kwa mwezi

Bado nipo katika mikakati kuhakikisha inapungua chini ya hapo, kutia bando daily naona ni utumwa wa hali ya juu

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Mimi natumia GB 60 kwa sh. 50,000 tena kwa kujibana sana. Wewe unatumia bando la sh ngapi kwa mwezi? TushirikisheView attachment 2732641
Najitahidi kubalance gharama, Mara nyingi data na kupiga hugharimu Kati ya 15k hadi 20k tu

Hapo binafsi najibana Sana
1. Sifungui video fb, status na jamii forum

2. Data saver kila muda ipo on

3. You tube huwa natumia Mara chache mno tena nimeset low data usage
 
Binafsi kwa mwezi natumia bando si chini ya 25K Ila nipo mbioni nipunguze matumizi Ayo at least iwe ata 15K.
 
Back
Top Bottom