GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tafadhali nawaomba Siku zingine msirudie tena au kama mnapenda awe anatumika katika Oparesheni zenu basi anzeni Kumlisha vyema ( Balance Diet ) ili Mwili wake uongezeke na mpeni Ratiba maalum ya kwenda Gym Kuujenga na Kuukomaza Mwili wake akienda tena katika Oparesheni zingine asiwe anapepesuka kama Karatasi na kuwa Muoga huku akitaka Kutoka Baru ( Kukimbia )
Cc: SAGAI GALGANO, rodrick alexander, Kalpana, Ghiti Milimo etc
Cc: SAGAI GALGANO, rodrick alexander, Kalpana, Ghiti Milimo etc