GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ushauri wangu mkubwa kwa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe uzingatiwe tafadhali.Wewe mtu mfupi mweusi mwenye umbo la peasi kazi kama zile utaziweza?
GENTAMYCINECharistimatic Fella, Entertainer
Mponze tu ajute.CAPO DELGADO antibiotic anakuita uku
AaahaaaaaaWewe mtu mfupi mweusi mwenye umbo la peasi kazi kama zile utaziweza?
Video tafadhaliTafadhali nawaomba Siku zingine msirudie tena au kama mnapenda awe anatumika katika Oparesheni zenu basi anzeni Kumlisha vyema ( Balance Diet ) ili Mwili wake uongezeke na mpeni Ratiba maalum ya kwenda Gym Kuujenga na Kuukomaza Mwili wake akienda tena katika Oparesheni zingine asiwe anapepesuka kama Karatasi na kuwa Muoga huku akitaka Kutoka Baru ( Kukimbia )
Cc: SAGAI GALGANO, rodrick alexander, Kalpana, Ghiti Milimo etc
Ya All Kamwe ( Msemaji wa Yanga SC ) vile anavyopepesuka na Mwili wake wa Mbu / Kimbaumbau au?Video tafadhali
Makasiriko ya nini?Hakuna uhusiano wa wembamba na namna ya kukabiliana na mtu.
Unaweza kuwa mnene ukagaragzwa na kimbaumbau.
Kumbe watu dizaini yako ndo mnasababisha askari wetu wafuge mitumbo na miili wakiamini ndo kuwa na nguvu za kukabiliana na adui.
Wenzetu walioendelea askari wao miili kama namba moja ila shughuli yao pevu.
YapYa All Kamwe ( Msemaji wa Yanga SC ) vile anavyopepesuka na Mwili wake wa Mbu / Kimbaumbau au?
FactHakuna uhusiano wa wembamba na namna ya kukabiliana na mtu.
Unaweza kuwa mnene ukagaragzwa na kimbaumbau.
Kumbe watu dizaini yako ndo mnasababisha askari wetu wafuge mitumbo na miili wakiamini ndo kuwa na nguvu za kukabiliana na adui.
Wenzetu walioendelea askari wao miili kama namba moja ila shughuli yao pevu.
hata mm nilicheka sana...Tafadhali nawaomba Siku zingine msirudie tena au kama mnapenda awe anatumika katika Oparesheni zenu basi anzeni Kumlisha vyema ( Balance Diet ) ili Mwili wake uongezeke na mpeni Ratiba maalum ya kwenda Gym Kuujenga na Kuukomaza Mwili wake akienda tena katika Oparesheni zingine asiwe anapepesuka kama Karatasi na kuwa Muoga huku akitaka Kutoka Baru ( Kukimbia )
Cc: SAGAI GALGANO, rodrick alexander, Kalpana, Ghiti Milimo etc
Mwili wa mbu komwe saizi ya guluguja dadeq lazima akose balanceYa All Kamwe ( Msemaji wa Yanga SC ) vile anavyopepesuka na Mwili wake wa Mbu / Kimbaumbau au?