Hivi hizo lawama kina Lissu na Mbowe huwa wanatoa statements gani ku cover story?
Sijawahi kuwasikia wakitetea hoja yao ya kufika bei na mamluki!
Hilo doa limeacha kilema cha kudumu kwenye upinzani na kuonekana kama ni vyama vya mfukoni ama vyama vya kifamilia.