kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Nasikia uwanja wa barafu umekuwa "cleared" kwa ajili ya parking ya mabus na fuso za kuwabeba wanaokwenda Jamhuri.Natumai kesho jirani na uwanja wa jamuhuri kutakuwa na vituo vingi kushusha abiria, wenye mabasi Shabib na wengine wameombwa na kamati ya usafiri.
Acha uongoCCM wanajua kabisa kuwa bila wasaniii,mikutano yao haiwezi kuhudhuriwa na idadi kubwa ya wananchi.
Kikubwa zaidi wanachotaka kuhalalisha kwa "nyomi ya kulazimisha", ni matokeo ya kupikwa ya "ushindi wa kishindo" wa ile idadi ya NEC ya nusu ya Watanzania kuwa 18+,na zaidi wote hao kuwa wamejiandikisha.
Justification.
Nipe uhalali wa kuwa na wapiga kura 29 milioni kati ya Watanzania wanaokadiriwa kuwa 60 milioni.Acha uongo
Umeona eeeeh. Yaani wamechemsha sana hii siku ya ufunguzi.Uchaguzi ni mikakati ndugu ! Hakuna cha kusingizia wasanii wala nini , wasanii ni sehemu ya jamii. Kama wapinzani wameshindwa kuwatumia ni wao! Wapinzani bado hawana mikakati madhibuti ya ushindi! Na imeonekana leo! Yan uzinduzi umekua wa hovyo tu!.