Kwa mzaha mzaha heunda Mzee Warioba akapigwa kipapayi. CCM mtandao ni watu wabaya sana

Kwa mzaha mzaha heunda Mzee Warioba akapigwa kipapayi. CCM mtandao ni watu wabaya sana

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Wakishindwa kukuteka kinachofuata ni kukupiga klpapayi

Hawa jamaaa wana mbinu nyingi sana za kuwamaliza watu wanaopinga ufisadi wao.

Option ya kwanza huwa sumu, ya pili huwa kuteka na mwisho kabisa ni kupiga kipapayu.
 
2026 WARIOBA AMEONGEA YOTE YANAYOPASWA KUFANYIKA!!THEN AMEONESHA NANI MWENYE TATIZO
 
Mzee anatakiwa aishi maisha ya umakini mkubwa sana. Kuingia kwenye vita na wahuni, ni kujitafutia kifo cha haraka.
 
Back
Top Bottom