Kwa mziki huu,Yanga SC leo kuishusha daraja Mbao FC kirumba Mwanza!

Wataalam mtujuze.Bila shaka hii ni 4-5-1!
 
Joshua hapo mmh
Nadhani kocha anataka upande wa kushoto amtumie Mwashiuya pekee ktk kushambulia na Joshua asivuke katikati ili kuwa na ulinzi imara!
 
Kwa mnavyoujua mpira wa bongo leo yanga watashinda zaidi y magoli 5, na mbao watashuka daraja. Bongo mtu yupo tayari afe njaa kwa ajili ya Simba au Yanga yake
 
Toto na Mbao wanakubali kufungwa na Yanga ili washuke daraja ili tu kumkomoa Simba asiwe bingwa,inashangaza sana..
 
Miamala FC sijui itatoka leo? Huko waliko wanalilia points za FIFA!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…