kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,818
Mziki wa Bongo fleva umefika pabaya, Vijana watatu na lebo zao wameamua kuua mziki, badala ya kufanya mziki wa biashara wameamua kufanya biashara ya mziki, kikubwa ni kuingiza pesa bila kujua wapi wanaelekea, haina tofauti na Bongo movie kipind hicho inapendwa wakaanza kufanya biashara ya movie badala ya movie za biashara.
Wasanii wote ambao wanajua mziki km akina Barnaba, Jux, Chege, n.k ndo basi tena, nani atawasikiliza sasa, ukitaka usikilizwe lazima hao vijana watatu wahusike na mziki wako otherwise utajipinda kutoa nyimbo kali lakn itaishia Kimara hapo, hawa vijana wameacha kutunga nyimbo na kikubwa kwao ni pesa lakin maskini hawajui baada ya muda mfupi watu watawachoka na kukata tamaa na Bongo fleva yao.
Wenzao wa zaman waliweza kufika mbali kwasababu waliheshimu mziki kwanza kisha pesa, ndo maana halis ya usichezee kazi chezea mshahara, hadi leo hawa madogo wanaimba na mziki unaheshimika kwasababu waliishi kwa kuulinda mziki, hebu assume hawa vijana watatu, hasa hasa wawili hawa, Mmoja anajiita Tembo na mwingine Simba wangekuwa wameanza kuimba kipind kile cha akina Qchief, Dully sykes, Nature, Jay dee, Prof Jay n.k mziki ungefika hapa ulipo? Japo zama zinabadilika lakin mziki ni sanaa yenye miiko, desturi na taratibu zake, kwenda kinyume nazo ni kuuua mziki wenyewe.
Nawaambia wakiendelea hivi, mziki huu wa Bongo fleva hauna maisha, utakufa km ilivyokufa bongo movie saivi wanapambana kuirudisha. Hawa vijana siku hizi wanajaza zaid maisha binafsi kuliko mziki wao, Zari anajulikana zaid kuliko kirefu za WCB, Sara mzungu tunamjua zaid kuliko makao makuu ya Konde gang, wamewekwa upofu usoni.
Mbaya zaid sasa vijana wenye vipaji hakuna anayewazingatia tena, Kuna huyu Kayumba, mtoto anaimba sana yule, nani anajali unadhan.. Wadau wa mziki kaeni chini ukoeni hii sanaa.