Kwa MZUMBE(morogoro) na TIA(dar).

Kwa MZUMBE(morogoro) na TIA(dar).

Mom Fay

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
1,059
Reaction score
316
habari wana jf,.ni matumaini yangu mu~wazima.

..nia na dhumuni la kupost hapa, ninaelewa hapa jf tumekusanyika watu wengi na mbalimbali kutoka sehemu tofauti tofauti!!..naamini pia kuna wanafunzi wa chuo kikuu Mzumbe Morogoro au TIA hapa Dar,haijalishi ndo umeanza certificate au upo diploma au unachukua nini kwasasa..naomba uni~PM. nahitaji rafiki kutoka sehemu hizo mbili hasa mzumbe...yeyote tu wa kike au kiume sawa tu!,na mbali na urafiki kuna sababu nyingine nyuma ya pazia...!

..asanteni!
.Mom Fay
 
habari wana jf,.ni matumaini yangu mu~wazima.

..nia na dhumuni la kupost hapa, ninaelewa hapa jf tumekusanyika watu wengi na mbalimbali kutoka sehemu tofauti tofauti!!..naamini pia kuna wanafunzi wa chuo kikuu mzumbe morogoro au tia hapa dar,haijalishi ndo umeanza certificate au upo diploma au unachukua nini kwasasa..naomba uni~pm. Nahitaji rafiki kutoka sehemu hizo mbili hasa mzumbe...yeyote tu wa kike au kiume sawa tu!,na mbali na urafiki kuna sababu nyingine nyuma ya pazia...!

..asanteni!
.mom fay
sawa tumekupata mkuu
 
Haya mom fay,nmekuPM lakn hujanjbu mpaka saiv!hata me napenda sana marafk wa kike kama wewe hapo.
 
Haya mom fay,nmekuPM lakn hujanjbu mpaka saiv!hata me napenda sana marafk wa kike kama wewe hapo.

nakujibu dia.nilikuwa nasoma huo uzi wa mkaka akutwa akifanya mapenzi na bata,ndo nilikuwa najiuliza bata huyu huyu naemjua au?!,huku navuta picha haipandi
 
habari wana jf,.ni matumaini yangu mu~wazima.

..nia na dhumuni la kupost hapa, ninaelewa hapa jf tumekusanyika watu wengi na mbalimbali kutoka sehemu tofauti tofauti!!..naamini pia kuna wanafunzi wa chuo kikuu Mzumbe Morogoro au TIA hapa Dar,haijalishi ndo umeanza certificate au upo diploma au unachukua nini kwasasa..naomba uni~PM. nahitaji rafiki kutoka sehemu hizo mbili hasa mzumbe...yeyote tu wa kike au kiume sawa tu!,na mbali na urafiki kuna sababu nyingine nyuma ya pazia...!

..asanteni!
.Mom Fay

bahati mbaya wengine tulimaliza mwaka jana..
 
Back
Top Bottom