Smartkahn
JF-Expert Member
- Jun 22, 2020
- 1,028
- 1,790
Kwa kilichotokea kabla wakati na baada ya uchaguzi ni dhahiri shahiri sisi jamii ya kiafrika tunachangamoto ya kimsingi.
Namna hii mifumo ya uongozi ilikosea inakosea na inaendelea kukosea na cha kusikitisha zaidi kama sio kushangaza wanajitetea/jisafisha/jificha katika makosa yao.
Katika hali hii iliyotokea nilitarajia kuona watu(viongozi) wakiwajibika kwa dhati kwaajili ya taswira ya Taifa lao hasa katika afya ya psycholojia ya Taifa na kizazi kijacho.
Ukihusianisha na mataifa mengi yanaliyoendelea kwa kasi hasa Asia uchina,Japani, Korea nk. Sio kama waafrika ni jamii nyingine na ni wawajibikaji na wananidhamu kali kwa ili misingi waliojiwekea... Na nindio chachu ya mafanikio yao.
Sasa sisi hapa licha ya kua mambo yameharibika hadharani kila mtu anajua nini kimetokea (wanasemaga wamekamatwa red handed").
Lakini wapi watu wamekomaa hawawajibiki na kamahaitoshi wanakana na kuhusika na uharibifu huo.
Sasa kama mambo haya mazito na ya aibu yanayoonekana/yanayojulikana uongozi hautaki kuwajibika je vipi au itakuwaje kwa mambo ya siri, yasiyojulikana mbele za watu.
Hii maana yake taifa lina/litakua na viongozi kwanza wasiostahili katika nafasi zao pili wanaoweza kuongoza nchi ilimradi liende na hata akifanya uharibifu zaidi ya maramoja hawajibiki wala kuwajibishwa mwisho wa siku taifa linafikisha miaka miamoja (100) ya uhuru wake, hakuna kitu cha kujivunia kama nchi na viongozi bado wanapambana kutengeneza na kuzindua vyoo bora mashuleni.
Kwa mwenendo huu sioni haja ya kutafuta Katiba mpya kwani tatizo msingi halitokani na kua na katiba nzuri au mbaya... bali Upeo Ufahamu(kiongozi alie kamili kuongoza watu(watu=miili na roho zao). Pamoja na sifa zingine zote za kiongozi bora inatakiwa awaje... pia kiongozi inatakiwa awe amefunguka kiroho(enlightened being, asiwe mchawi(ulimwengu wa giza) bali mwenye HEKIMA(ulimwengu wa NURU)).
Sababu hizi za kufeli kama waafrika zimetolewa bila kuhusisha sababu za kijasusi.
In a positive way, take it maanani.
Peace be upon us.