Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Njoo inbox.Very good idea, naomba nipe namba zao aisee, MTU akihitaji kukopa tu nampa namba na kumwambia mimi pia nimekopa hapo juzi tu...hahahaaa
Hapo shukuru Mungu kuwa umejifunza mapema kabla mambo yako hayajawa mabaya,kwny shida nakwambia hakuna marafiki,kiujumla hakuna marafiki kabisa,ukiona mtu anafanya urafiki na ww Dunia hii bs Kuna kitu anafaidika na ww,kingine ndugu yangu,hakuna urafiki maofisini,nimeshangaa unasema huyo wa mko ofisi moja ni rafiki wa karibu,jitenge nao mkuu,mind ur own business,changia furaha na shida zao lkn don't bring them close ukawaamini,binadam ni mnyama hatari sana,speaking from experience.Ndugu zangu, naandika nikiwa very down yaani, na kila nikifikiria nashindwa kujua what kind of friends do I have???
Nimekuwa na marafiki kadhaa ambao kwa mtazamo wangu nimekuwa nikidhani tunafaana, ila kumbe mimi ndo nawafaa wao tu...
Kumekuwa na hizi mambo ambazo baada ya kufikiria kwa kina naona hakuna haja ya kuwa na marafiki kabisa...
Kila wakiazima pesa jamaa zangu hawa HAWARUDISHI, wengine wanaazima then wanaanza kurudisha kidogo kidogo...naanza na hizi tatu za karibuni...
1. Jamaa alipatwa na bonge la dharura akiwa nje ya jiji, akaniomba nimuwekee 400,000/= akirudi anakuja ku-clear, (Mimi nafanya biashara ya miamala ya kifedha) nikamtumia jamaa a solve tatizo lake, siku mbili baadaye jamaa alirudi ila hakuwa anazungumzia chochote kuhusu pesa yangu, Mara wiki ikakata, nikamkumbusha kuwa ile ni pesa ya biashara na ipo kwenye mzunguko akasema "soon ntakurekebishia" ila kimya...(huyu ni mtu nimesoma naye, anafanya kazi na pesa najua anayo ila dhamira ya kurudisha hana!)
2. Hii imetokea mwezi mmoja uliopita, jamaa tupo naye kazini na ni rafiki yangu wa karibu kabisa, ghafla ulitokea msiba wa baba yake huko mkoani, Bahati mbaya hakuwa vizuri, kwa kuwa anajua kaofisi ka miamala hakapo vibaya sana akanifuata na kuomba nimpe 350,000/= then soon angenirejeshea, nikamsisitiza sana kwamba pesa ni ya biashara, aka-declear kwamba ile pesa ya mkono wa pole kutoka ofisini (ambayo ni 500,000) nitachuku 350,000 then inayobaki ndo atumiwe (maana hii pesa huwa inatolewa immediately inapotokea dharura ya aina yake)
Cha ajabu nilipokwenda kwa muhasibu kumwambia anipe hiyo 350,000 nikaambiwa jamaa aliitaka yote na wameshamtumia tayari, nikanyamaza, jamaa alirudi job, lakini pesa yangu haizungumzii kabisa, nikamkumbusha akaniambia atanipa mwisho wa mwezi, imefika mwisho wa mwezi akanipa 100,000/= kirahisi kabisa akaniambia nyingine mwezi ujao, nilishikwa hasira sana nikaondoka...
Jamaa wa tatu aliipata janga la kuunguliwa na vitu, katika kutafuta namna ya kusimama upya akaniomba 450,000/= katika hiyo alirudisha 250,000/= nyingine mpaka leo kimyaaa, sasa najiuliza aina huu ya urafiki wa kurudishana nyuma kuna ulazima wa kuendelea nao kweli???
Naombeni mbinu za kuishi bila interaction na marafiki, maana inafika mahali naona kama wanafanya makusudi kunikwamisha tu, na kwanini marafiki ndo wanakuwa wa kwanza kutuangusha???
Najiuliza kwani hawa jamaa wananionaje?
What happened mkuu, tunajifunza mengi hapa jukwaani...ukitupa tips za kilichokupata inatusaidia kuongeza umakini...Hapo shukuru Mungu kuwa umejifunza mapema kabla mambo yako hayajawa mabaya,kwny shida nakwambia hakuna marafiki,kiujumla hakuna marafiki kabisa,ukiona mtu anafanya urafiki na ww Dunia hii bs Kuna kitu anafaidika na ww,kingine ndugu yangu,hakuna urafiki maofisini,nimeshangaa unasema huyo wa mko ofisi moja ni rafiki wa karibu,jitenge nao mkuu,mind ur own business,changia furaha na shida zao lkn don't bring them close ukawaamini,binadam ni mnyama hatari sana,speaking from experience.
anhaa nmekuelewa ni sawa kama hutaki akuzonge zonge.... je kama mdau apo anavyoeleza kwa viwango hivyo vya pesa je upo tayari kupoteza ili kuepuka kuzongwa au upo tayari kusubiri pesa ambayo unajua fika huipati na hata ukiipata itakua kwa kuchelewana kusuwasuwa na bado unamatumizi nayo... Lengo tu ni asikuzonge zonge. Je upo tayari kwa hilo?No!! wee! mkopeshe akukimbie vizuri!!...ukimpa atakuwa anakuja mara kwa mara kukutembelea na vistory viiingi visivyoisha!
Watu wengi wanaofanikiwa ni wale waliotengwa,wasio na marafiki/ndugu
One Man Army (Utanielewa siku 1) yawezekana hii comment usi ielewe mapema.
Baada ya kuumizwa sana na mambo kama haya yakwako siku hizi kuazima mtu nimekoma. Juzi tu mtu kaja anataka nimuazime 2.5m then baada ya Mwezi atarejesha.Ndugu zangu, naandika nikiwa very down yaani, na kila nikifikiria nashindwa kujua what kind of friends do I have???
Nimekuwa na marafiki kadhaa ambao kwa mtazamo wangu nimekuwa nikidhani tunafaana, ila kumbe mimi ndo nawafaa wao tu...
Kumekuwa na hizi mambo ambazo baada ya kufikiria kwa kina naona hakuna haja ya kuwa na marafiki kabisa...
Kila wakiazima pesa jamaa zangu hawa HAWARUDISHI, wengine wanaazima then wanaanza kurudisha kidogo kidogo...naanza na hizi tatu za karibuni...
1. Jamaa alipatwa na bonge la dharura akiwa nje ya jiji, akaniomba nimuwekee 400,000/= akirudi anakuja ku-clear, (Mimi nafanya biashara ya miamala ya kifedha) nikamtumia jamaa a solve tatizo lake, siku mbili baadaye jamaa alirudi ila hakuwa anazungumzia chochote kuhusu pesa yangu, Mara wiki ikakata, nikamkumbusha kuwa ile ni pesa ya biashara na ipo kwenye mzunguko akasema "soon ntakurekebishia" ila kimya...(huyu ni mtu nimesoma naye, anafanya kazi na pesa najua anayo ila dhamira ya kurudisha hana!)
2. Hii imetokea mwezi mmoja uliopita, jamaa tupo naye kazini na ni rafiki yangu wa karibu kabisa, ghafla ulitokea msiba wa baba yake huko mkoani, Bahati mbaya hakuwa vizuri, kwa kuwa anajua kaofisi ka miamala hakapo vibaya sana akanifuata na kuomba nimpe 350,000/= then soon angenirejeshea, nikamsisitiza sana kwamba pesa ni ya biashara, aka-declear kwamba ile pesa ya mkono wa pole kutoka ofisini (ambayo ni 500,000) nitachuku 350,000 then inayobaki ndo atumiwe (maana hii pesa huwa inatolewa immediately inapotokea dharura ya aina yake)
Cha ajabu nilipokwenda kwa muhasibu kumwambia anipe hiyo 350,000 nikaambiwa jamaa aliitaka yote na wameshamtumia tayari, nikanyamaza, jamaa alirudi job, lakini pesa yangu haizungumzii kabisa, nikamkumbusha akaniambia atanipa mwisho wa mwezi, imefika mwisho wa mwezi akanipa 100,000/= kirahisi kabisa akaniambia nyingine mwezi ujao, nilishikwa hasira sana nikaondoka...
Jamaa wa tatu aliipata janga la kuunguliwa na vitu, katika kutafuta namna ya kusimama upya akaniomba 450,000/= katika hiyo alirudisha 250,000/= nyingine mpaka leo kimyaaa, sasa najiuliza aina huu ya urafiki wa kurudishana nyuma kuna ulazima wa kuendelea nao kweli???
Naombeni mbinu za kuishi bila interaction na marafiki, maana inafika mahali naona kama wanafanya makusudi kunikwamisha tu, na kwanini marafiki ndo wanakuwa wa kwanza kutuangusha???
Najiuliza kwani hawa jamaa wananionaje?
Hakuna urafiki kwenye pesa,,..weka mipaka vinginevyo utafilisika bure. By the way hawajawahi kukulazimisha uwape.Ndugu zangu, naandika nikiwa very down yaani, na kila nikifikiria nashindwa kujua what kind of friends do I have???
Nimekuwa na marafiki kadhaa ambao kwa mtazamo wangu nimekuwa nikidhani tunafaana, ila kumbe mimi ndo nawafaa wao tu...
Kumekuwa na hizi mambo ambazo baada ya kufikiria kwa kina naona hakuna haja ya kuwa na marafiki kabisa...
Kila wakiazima pesa jamaa zangu hawa HAWARUDISHI, wengine wanaazima then wanaanza kurudisha kidogo kidogo...naanza na hizi tatu za karibuni...
1. Jamaa alipatwa na bonge la dharura akiwa nje ya jiji, akaniomba nimuwekee 400,000/= akirudi anakuja ku-clear, (Mimi nafanya biashara ya miamala ya kifedha) nikamtumia jamaa a solve tatizo lake, siku mbili baadaye jamaa alirudi ila hakuwa anazungumzia chochote kuhusu pesa yangu, Mara wiki ikakata, nikamkumbusha kuwa ile ni pesa ya biashara na ipo kwenye mzunguko akasema "soon ntakurekebishia" ila kimya...(huyu ni mtu nimesoma naye, anafanya kazi na pesa najua anayo ila dhamira ya kurudisha hana!)
2. Hii imetokea mwezi mmoja uliopita, jamaa tupo naye kazini na ni rafiki yangu wa karibu kabisa, ghafla ulitokea msiba wa baba yake huko mkoani, Bahati mbaya hakuwa vizuri, kwa kuwa anajua kaofisi ka miamala hakapo vibaya sana akanifuata na kuomba nimpe 350,000/= then soon angenirejeshea, nikamsisitiza sana kwamba pesa ni ya biashara, aka-declear kwamba ile pesa ya mkono wa pole kutoka ofisini (ambayo ni 500,000) nitachuku 350,000 then inayobaki ndo atumiwe (maana hii pesa huwa inatolewa immediately inapotokea dharura ya aina yake)
Cha ajabu nilipokwenda kwa muhasibu kumwambia anipe hiyo 350,000 nikaambiwa jamaa aliitaka yote na wameshamtumia tayari, nikanyamaza, jamaa alirudi job, lakini pesa yangu haizungumzii kabisa, nikamkumbusha akaniambia atanipa mwisho wa mwezi, imefika mwisho wa mwezi akanipa 100,000/= kirahisi kabisa akaniambia nyingine mwezi ujao, nilishikwa hasira sana nikaondoka...
Jamaa wa tatu aliipata janga la kuunguliwa na vitu, katika kutafuta namna ya kusimama upya akaniomba 450,000/= katika hiyo alirudisha 250,000/= nyingine mpaka leo kimyaaa, sasa najiuliza aina huu ya urafiki wa kurudishana nyuma kuna ulazima wa kuendelea nao kweli???
Naombeni mbinu za kuishi bila interaction na marafiki, maana inafika mahali naona kama wanafanya makusudi kunikwamisha tu, na kwanini marafiki ndo wanakuwa wa kwanza kutuangusha???
Najiuliza kwani hawa jamaa wananionaje?
Umkopeshe MILIONI 2.5?!?!Baada ya kuumizwa sana na mambo kama haya yakwako siku hizi kuazima mtu nimekoma. Juzi tu mtu kaja anataka nimuazime 2.5m then baada ya Mwezi atarejesha.
[emoji28][emoji28]
Hii nayo ni mbinu nzuri!Sasa hv cha kufanya mtu akikuletea shida na wewe unampashida yako atakama ni ya uongo na mwambie ww mwnyw unatafuta mtu umkope