Kwa namna hii kuna haja ya kuwa na marafiki kweli?

Pesa inaua undugu na urafiki.

Ndio maana unashauriwa kukopesha kiasi unachoweza kukipoteza bila kukuletea athari kwenye mitikasi yako.

Hao jamaa wote labda ungewapa lakilaki tu, huenda si pesa kubwa kwako na labda ungepotezea na urafiki ungeendela bila chuki ila usingethubutu kuwakopesha tena maana si walipaji.

Ila wewe umewakopesha mipesa kibao si ajabu hata biashara itayumba sasa.
 
Hakikisha mtu yoyote atakayekuomba hela unamwambia SINA na usimpe kweli hata awe amepata ajali amepasuka ubongo. Itakusaidia kupunguza maadui wapya maana hao wote unaosumbuana nao tayari ni maadui zako wanakutangaza ubaya kila mahali. Amini usiamini wanakuponda sana😀😀😀😀.

Halafu kama ni rafiki au ndugu mgonjwa nenda kumuona hospital na machungwa, takeaway 1 ya ndizi kama watu wengine. Acha kujifanya msamaria mwema niliwahi pitia ujinga kama huu mtaji ulikatabkwa 50% na miongoni mwa wasionipenda ni wale wote niliowasaidia.
 
Suluhisho la haraka ni hili.

Screenshot_20220414-183056.png
 
Ndugu zangu, naandika nikiwa very down yaani, na kila nikifikiria nashindwa kujua what kind of friends do I have???

Nimekuwa na marafiki kadhaa ambao kwa mtazamo wangu nimekuwa nikidhani tunafaana, ila kumbe mimi ndo nawafaa wao tu...

Kumekuwa na hizi mambo ambazo baada ya kufikiria kwa kina naona hakuna haja ya kuwa na marafiki kabisa...

Kila wakiazima pesa jamaa zangu hawa HAWARUDISHI, wengine wanaazima then wanaanza kurudisha kidogo kidogo...naanza na hizi tatu za karibuni...

1. Jamaa alipatwa na bonge la dharura akiwa nje ya jiji, akaniomba nimuwekee 400,000/= akirudi anakuja ku-clear, (Mimi nafanya biashara ya miamala ya kifedha) nikamtumia jamaa a solve tatizo lake, siku mbili baadaye jamaa alirudi ila hakuwa anazungumzia chochote kuhusu pesa yangu, Mara wiki ikakata, nikamkumbusha kuwa ile ni pesa ya biashara na ipo kwenye mzunguko akasema "soon ntakurekebishia" ila kimya...(huyu ni mtu nimesoma naye, anafanya kazi na pesa najua anayo ila dhamira ya kurudisha hana!)

2. Hii imetokea mwezi mmoja uliopita, jamaa tupo naye kazini na ni rafiki yangu wa karibu kabisa, ghafla ulitokea msiba wa baba yake huko mkoani, Bahati mbaya hakuwa vizuri, kwa kuwa anajua kaofisi ka miamala hakapo vibaya sana akanifuata na kuomba nimpe 350,000/= then soon angenirejeshea, nikamsisitiza sana kwamba pesa ni ya biashara, aka-declear kwamba ile pesa ya mkono wa pole kutoka ofisini (ambayo ni 500,000) nitachuku 350,000 then inayobaki ndo atumiwe (maana hii pesa huwa inatolewa immediately inapotokea dharura ya aina yake)

Cha ajabu nilipokwenda kwa muhasibu kumwambia anipe hiyo 350,000 nikaambiwa jamaa aliitaka yote na wameshamtumia tayari, nikanyamaza, jamaa alirudi job, lakini pesa yangu haizungumzii kabisa, nikamkumbusha akaniambia atanipa mwisho wa mwezi, imefika mwisho wa mwezi akanipa 100,000/= kirahisi kabisa akaniambia nyingine mwezi ujao, nilishikwa hasira sana nikaondoka...

Jamaa wa tatu aliipata janga la kuunguliwa na vitu, katika kutafuta namna ya kusimama upya akaniomba 450,000/= katika hiyo alirudisha 250,000/= nyingine mpaka leo kimyaaa, sasa najiuliza aina huu ya urafiki wa kurudishana nyuma kuna ulazima wa kuendelea nao kweli???

Naombeni mbinu za kuishi bila interaction na marafiki, maana inafika mahali naona kama wanafanya makusudi kunikwamisha tu, na kwanini marafiki ndo wanakuwa wa kwanza kutuangusha???

Najiuliza kwani hawa jamaa wananionaje?
Hapo shukuru Mungu kuwa umejifunza mapema kabla mambo yako hayajawa mabaya,kwny shida nakwambia hakuna marafiki,kiujumla hakuna marafiki kabisa,ukiona mtu anafanya urafiki na ww Dunia hii bs Kuna kitu anafaidika na ww,kingine ndugu yangu,hakuna urafiki maofisini,nimeshangaa unasema huyo wa mko ofisi moja ni rafiki wa karibu,jitenge nao mkuu,mind ur own business,changia furaha na shida zao lkn don't bring them close ukawaamini,binadam ni mnyama hatari sana,speaking from experience.
 
Njia rahisi
Kwa uwezo niliokuwa nao marafika nakopesha mwisho Tsh 50,000/= haizidi ...ukitaka zaidi nakuunganisha na watu wanaokopesha kwa riba ...tena hapa napata kamisheni kwa kila mteja ninaowapelekea wakopeshaji.
Hii fifty huwa siidai Ila nairekodi na huwa naiita ' luku' kwani ikatokea unataka kukopa tena kwangu ni lazima huilipe kwanza..
Nishawapiga luku' ndugu wa kutosha na marafiki mpaka sasa..... Wanabakia yule jamaa anapesa lakini ukienda kwake kukopa anadai ili fifty yake ndio akuongeze .....na ukifanikiwa kuilipa unapotaka nikuongeze naitumia ile fifty uliorudisha nakuongeza tena fifty inakuwa laki. Nyongeza ya fedha unayohitaji utaipata kwa wazee wa bond
 
Mi mtu akisema nimkopeshe pesa, akitaja pesa ndefu mfano Kama 200,000. Kwanza namwambia sina pesa ila Kama ila nikiona shida yake IPO taiti Sana kiasi alichosema simpi chote namwambia mi niliyonayo labda 30k au 50k, nampatia Kwa kumkopesha ila sitamdai. Yeye akijisikia hailete asipoileta najua hatokuja Tena kuniomba nimkopeshe, akija kusema nimkopeshe to kwanza nitamwambia Sina pesa na nitamchana kwa kumkumbushia pesa aliyoikopa awali hajairudisha, hivyo amepoteza uaminifu kwangu.
 
Hapo shukuru Mungu kuwa umejifunza mapema kabla mambo yako hayajawa mabaya,kwny shida nakwambia hakuna marafiki,kiujumla hakuna marafiki kabisa,ukiona mtu anafanya urafiki na ww Dunia hii bs Kuna kitu anafaidika na ww,kingine ndugu yangu,hakuna urafiki maofisini,nimeshangaa unasema huyo wa mko ofisi moja ni rafiki wa karibu,jitenge nao mkuu,mind ur own business,changia furaha na shida zao lkn don't bring them close ukawaamini,binadam ni mnyama hatari sana,speaking from experience.
What happened mkuu, tunajifunza mengi hapa jukwaani...ukitupa tips za kilichokupata inatusaidia kuongeza umakini...
 
No!! wee! mkopeshe akukimbie vizuri!!...ukimpa atakuwa anakuja mara kwa mara kukutembelea na vistory viiingi visivyoisha!
anhaa nmekuelewa ni sawa kama hutaki akuzonge zonge.... je kama mdau apo anavyoeleza kwa viwango hivyo vya pesa je upo tayari kupoteza ili kuepuka kuzongwa au upo tayari kusubiri pesa ambayo unajua fika huipati na hata ukiipata itakua kwa kuchelewana kusuwasuwa na bado unamatumizi nayo... Lengo tu ni asikuzonge zonge. Je upo tayari kwa hilo?
 
Watu wengi wanaofanikiwa ni wale waliotengwa,wasio na marafiki/ndugu

One Man Army (Utanielewa siku 1) yawezekana hii comment usi ielewe mapema.

Yani Kaka Umemaliza.

Baba yangu mzazi aliniambia hichi kitu kwa maneno haya haya uliyo andika wewe.

Mimi ki ukweli sitaki kabisa watu wanipende saaaana au kunitukuza saaaana.

Na toka ni focus kwenye mambo yangu binafsi na finances zangu mwenyewe mambo yangu kibao nimefanikiwa sanaaa.

Hata kwenye michango ya harusi kuna circle yangu flani hivi michango watu wanatoa 2M 1 M, sijui 800K sijui 500K.....mimi michango yangu ni 100K tukifahamiana sanaaa 200K kama tumeshibana kweli kweli ndio 500K (hii nadra sanaa ila wapo)

Basi nikawa najizolea majungu na lawama sanaa oooh sijui mi kapuku sina hela (hii hadi kwa wanawake), sina maisha mambo kibao ya dharau yani. Basi mi nikawa najisemeaga ki moyo moyo that

“ .....Sawa nidharau ila mi mambo yangu yanaenda bila wasi, FXXK OFF Eat A D!ckk kwanza sijawahi lilia mtu shida na vya kwao sijai kula wala kuomba wala kunyenyekea mtu mimi....“

Toka niwe na misimamo hyo sijawahi kabisa rudi nyuma. Tuishini kwa misimamo mikali sanaa wana heshima utaja vuna baadae....hakuna faida yeyote katika kujipa umuhimu kwa maisha ya watu wengine hasa kama hawa contribute to ur progress / growth. Watu ni Wanafiki mnooo na wapo kimaslahi sanaaa, Make ur money and live ur life bretherens [emoji817]
 
Ndugu zangu, naandika nikiwa very down yaani, na kila nikifikiria nashindwa kujua what kind of friends do I have???

Nimekuwa na marafiki kadhaa ambao kwa mtazamo wangu nimekuwa nikidhani tunafaana, ila kumbe mimi ndo nawafaa wao tu...

Kumekuwa na hizi mambo ambazo baada ya kufikiria kwa kina naona hakuna haja ya kuwa na marafiki kabisa...

Kila wakiazima pesa jamaa zangu hawa HAWARUDISHI, wengine wanaazima then wanaanza kurudisha kidogo kidogo...naanza na hizi tatu za karibuni...

1. Jamaa alipatwa na bonge la dharura akiwa nje ya jiji, akaniomba nimuwekee 400,000/= akirudi anakuja ku-clear, (Mimi nafanya biashara ya miamala ya kifedha) nikamtumia jamaa a solve tatizo lake, siku mbili baadaye jamaa alirudi ila hakuwa anazungumzia chochote kuhusu pesa yangu, Mara wiki ikakata, nikamkumbusha kuwa ile ni pesa ya biashara na ipo kwenye mzunguko akasema "soon ntakurekebishia" ila kimya...(huyu ni mtu nimesoma naye, anafanya kazi na pesa najua anayo ila dhamira ya kurudisha hana!)

2. Hii imetokea mwezi mmoja uliopita, jamaa tupo naye kazini na ni rafiki yangu wa karibu kabisa, ghafla ulitokea msiba wa baba yake huko mkoani, Bahati mbaya hakuwa vizuri, kwa kuwa anajua kaofisi ka miamala hakapo vibaya sana akanifuata na kuomba nimpe 350,000/= then soon angenirejeshea, nikamsisitiza sana kwamba pesa ni ya biashara, aka-declear kwamba ile pesa ya mkono wa pole kutoka ofisini (ambayo ni 500,000) nitachuku 350,000 then inayobaki ndo atumiwe (maana hii pesa huwa inatolewa immediately inapotokea dharura ya aina yake)

Cha ajabu nilipokwenda kwa muhasibu kumwambia anipe hiyo 350,000 nikaambiwa jamaa aliitaka yote na wameshamtumia tayari, nikanyamaza, jamaa alirudi job, lakini pesa yangu haizungumzii kabisa, nikamkumbusha akaniambia atanipa mwisho wa mwezi, imefika mwisho wa mwezi akanipa 100,000/= kirahisi kabisa akaniambia nyingine mwezi ujao, nilishikwa hasira sana nikaondoka...

Jamaa wa tatu aliipata janga la kuunguliwa na vitu, katika kutafuta namna ya kusimama upya akaniomba 450,000/= katika hiyo alirudisha 250,000/= nyingine mpaka leo kimyaaa, sasa najiuliza aina huu ya urafiki wa kurudishana nyuma kuna ulazima wa kuendelea nao kweli???

Naombeni mbinu za kuishi bila interaction na marafiki, maana inafika mahali naona kama wanafanya makusudi kunikwamisha tu, na kwanini marafiki ndo wanakuwa wa kwanza kutuangusha???

Najiuliza kwani hawa jamaa wananionaje?
Baada ya kuumizwa sana na mambo kama haya yakwako siku hizi kuazima mtu nimekoma. Juzi tu mtu kaja anataka nimuazime 2.5m then baada ya Mwezi atarejesha.
[emoji28][emoji28]
 
Hakuna urafiki kwenye pesa,,..weka mipaka vinginevyo utafilisika bure. By the way hawajawahi kukulazimisha uwape.
 
Mkuu unatoaje hela kirahisi hivo?Kanuni ya kutoa hela kwa rafiki ni kumpa 20% ya kiasi alichoomba tena kwa mafungu.Yaani akiomba 500k unampa 100000 tena kwa kuanza na 30k then nyingine baada ya kukutumia reminders kadhaa.Unless wewe una pesa ambazo huna matumizi nazo kwa wakti huo basi anzisha huduma ya kukopesha kwa RIBA uchukue leseni BOT kabisa.
 
Ndio mana siaminigi kukopesha mtu hawalipi tena hasa awe mume/mke au ndugu ndio utajuta
 
Baada ya kuumizwa sana na mambo kama haya yakwako siku hizi kuazima mtu nimekoma. Juzi tu mtu kaja anataka nimuazime 2.5m then baada ya Mwezi atarejesha.
[emoji28][emoji28]
Umkopeshe MILIONI 2.5?!?!

Hana adabu kabisa huyo!!!
 
Sasa hv cha kufanya mtu akikuletea shida na wewe unampashida yako atakama ni ya uongo na mwambie ww mwnyw unatafuta mtu umkope
 
Wakupe vitu vya kuweka Bondi hata tv,gari,pikipiki n.k

Hapo ukimkopa mtu akakausha na wewe unakausha kimyaaa Kama hakuna kilichoendelea
 
Back
Top Bottom