Tusidanyane!
Vijana wote ambao hamko kwenye cheni ya ulaji na kupeana nafasi kwa Juana ndani ya ccm, bila kuiondoa ccm na kuikataa, wote mtakufa masikini na hamtafikia ndoto zenu abadani
Hata hapa CCM inalindwa na wanaokula kupitia mfumo mbovu iliojitengenezea na wengine kulipwa kwa kazi ya uchawa ili atetee matumbo ya wasioshiba na yeye kukubali ale makombo! Huyohuyo chawa anaisagia meno ccm
Kwa hali ilivyo, si kwa wababa wenye nguvu zao na ama wamama shupavu na wapambanaji, vijana watafutaji na walio na ndoto za badaye, hawaelewi na wanachokiona mitaani
Malengo na mipango yao inavurugika hata watumie nguvu kiasi kipi!
Wanachokipata na wanachokitumia' hakuwapi kabisa matumaini ya mbele yao!
Hakuna aliyekuwa anaipenda ccm kama wazee wangu, natoa mfano hai kabisa huu!
Ilikuwa mtu akitaja chama kingine na CCM anaonekana ni adui mkubwa ktk familia yangu mimi,
Kwa sasa! Mungu ni mzuri sana, wazee wangu wamefunguliwa hawataki tena kusikia Habari ya ccm
Ikiwa watu wa zamani na wazee ambao ccm kwao ni kama mzazi wao, wameanza kuchoshwa na ccm, Je kijana mwenye ndoto ya maisha yake ya badaye?
Sifahamu huko mliko wenzangu, huku mama hana Chake labda kubadirika kesho!