Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Rostam Aziz aliposema hakuna Mwekezaji anayeweza kuja kuwekeza mabilioni yake hapa nchini huku akijua kuwa wakati wa mgogoro kesi itapelekwa Kisutu ambapo Mahakimu..........
Watu wa mahakama walifura na kuja juu sana hadi kumfanya ndugu Rostam Aziz kuamua kuomba radhi ili yaishe.
Kesi hii ya Lissu ndio haswaaa inaweza kusema kuwa Rostam Aziz aliongea uongo au alikuwa na uzoefu na mahakama zetu?
Pia itawaonyesha wawekezaji na jumuiya ya kimataifa kuwa wanajiongezea tu gharama kwenda kwenye mahakama za usuluhishi za kimataifa wakati mambo yao yangeweza kumalizwa hapa hapa nchini na mahakama zetu na mambo yakawa shwariii.
Ni kazi sasa, haki na wajibu wa mahakama kujitetea yenyewe kwa kazi zake na maamuzi yake.