johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa namna Viongozi wakubwa wa Chadema Mh Ntobi na Mwanasheria Yeriko Nyerere walivyoanika hadharani SIRI za kwanini Tundu Antipas Lisu Hafai kuwa Rais wa JMT ni Wazi Rais Samia hana Mpinzani October anasubiri kuapishwa tu
Ikumbukwe Ntobi na Yeriko ni washauri Wakuu wa Mwenyekiti wa Chadema na 2020 walihusika kumpitisha Lisu agombee uRais siyo Kwa sababu ana Sifa bali ndiye mtu pekee ndani ya Chadema aliyekuwa anafanana na Shujaa Magufuli
Sisi CCM tunatembea Vifua mberee😂