Kwa namna Ntobi na Yericko Nyerere walivyomchafua Tundu Lissu ni Wazi Rais Samia hana Mpinzani October, anasubiri kuapishwa tu!

L
Hakuna mtu katukanwa kama Mbowe na wanaojiita Team Lisu, lakini katulia hana wasiwasi.

Tizama Team Lisu = Team matusi mnavyohangaika.
Lisu na genge lake kadri siku zinavyosonga mbele wanapungukiwa mbinu za kisiasa
 
Kwa namna Viongozi wakubwa wa Chadema Mh Ntobi na Mwanasheria Yeriko Nyerere walivyoanika hadharani SIRI za kwanini Tundu Antipas Lisu Hafai kuwa Rais wa JMT ni Wazi Rais Samia hana Mpinzani October anasubiri kuapishwa tu

Ikumbukwe Ntobi na Yeriko ni washauri Wakuu wa Mwenyekiti wa Chadema na 2020 walihusika kumpitisha Lisu agombee uRais siyo Kwa sababu ana Sifa bali ndiye mtu pekee ndani ya Chadema aliyekuwa anafanana na Shujaa Magufuli

Sisi CCM tunatembea Vifua mberee😂
Akiongea anaonekana kama MTU mwenye EGO najiuliza Taaluma yake imekaaje kaaje
 
Kwa namna Viongozi wakubwa wa Chadema Mh Ntobi na Mwanasheria Yeriko Nyerere walivyoanika hadharani SIRI za kwanini Tundu Antipas Lisu Hafai kuwa Rais wa JMT ni Wazi Rais Samia hana Mpinzani October anasubiri kuapishwa tu

Ikumbukwe Ntobi na Yeriko ni washauri Wakuu wa Mwenyekiti wa Chadema na 2020 walihusika kumpitisha Lisu agombee uRais siyo Kwa sababu ana Sifa bali ndiye mtu pekee ndani ya Chadema aliyekuwa anafanana na Shujaa Magufuli

Sisi CCM tunatembea Vifua mberee😂
Ukitobomoa ukingo wa mto maji yakachepuka, kuna raia watamwagilia mashamba.
Ikiwa walisema anafanana na Magufuli, sukuma gang wataenda na Lissu.
Cc Carlos The Jackal
 
CHADEMA hawana utamaduni wa kumrudisha mgombea aliyewahi kugombea nafasi ya uraisi. Bila shaka Kuna MTU makini anaandaliwa. Tusubiri tarehe 21/01/2025 apatikane mwenyekiti mpya.
 
Back
Top Bottom