johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Yericko ni nani,Ntobi ni nani? Umeshiba njugu mawe unakuja kuandika uharo kama huu. Mtaji wa matapeli ni wajinga kama weweKwa namna Viongozi wakubwa wa Chadema Mh Ntobi na Mwanasheria Yeriko Nyerere walivyoanika hadharani SIRI za kwanini Tundu Antipas Lisu Hafai kuwa Rais wa JMT ni Wazi Rais Samia hana Mpinzani October anasubiri kuapishwa tu
Ikumbukwe Ntobi na Yeriko ni washauri Wakuu wa Mwenyekiti wa Chadema na 2020 walihusika kumpitisha Lisu agombee uRais siyo Kwa sababu ana Sifa bali ndiye mtu pekee ndani ya Chadema aliyekuwa anafanana na Shujaa Magufuli
Sisi CCM tunatembea Vifua mbereeš
Mbowe Kesho anajitoaWamempa sifa zake, hawakumchafua.
Lisu hatufai chadema, aende aendako.
Tutamchagua Mbowe mitano tena.
Umekasiri Yeriko na Ntobi kuwa Washauri Wakuu wa Mwenyekiti wako š¼Yericko ni nani,Ntobi ni nani? Umeshiba njugu mawe unakuja kuandika uharo kama huu. Mtaji wa matapeli ni wajinga kama wewe
Mbowe ndiye mwenyekiti, hajitoi mtu.Mbowe Kesho anajitoa
Ameagizwa na Mwajiri š¼
Haya š¼Mbowe ndiye mwenyekiti, hajitoi mtu.
Wale wapiga kelele wote tunawatakia kila la kheri.
Uta ww na nani ? Jisemee weweWamempa sifa zake, hawakumchafua.
Lisu hatufai chadema, aende aendako.
Tutamchagua Mbowe mitano tena.
Kwa namna Viongozi wakubwa wa Chadema Mh Ntobi na Mwanasheria Yeriko Nyerere walivyoanika hadharani SIRI za kwanini Tundu Antipas Lisu Hafai kuwa Rais wa JMT ni Wazi Rais Samia hana Mpinzani October anasubiri kuapishwa tu
Ikumbukwe Ntobi na Yeriko ni washauri Wakuu wa Mwenyekiti wa Chadema na 2020 walihusika kumpitisha Lisu agombee uRais siyo Kwa sababu ana Sifa bali ndiye mtu pekee ndani ya Chadema aliyekuwa anafanana na Shujaa Magufuli
Sisi CCM tunatembea Vifua mbereeš
Lisu hana hekimaWamempa sifa zake, hawakumchafua.
Lisu hatufai chadema, aende aendako.
Tutamchagua Mbowe mitano tena.
Nawenzangu tumeamua tutampigia kura Mbowe.Uta ww na nani ? Jisemee wewe
Na hutumtaki hata awe mwanachama wa kawaida. Aondoke na watu wake.Lisu hana hekima
Yericco Mwanasheria?Kwa namna Viongozi wakubwa wa Chadema Mh Ntobi na Mwanasheria Yeriko Nyerere walivyoanika hadharani SIRI za kwanini Tundu Antipas Lisu Hafai kuwa Rais wa JMT ni Wazi Rais Samia hana Mpinzani October anasubiri kuapishwa tu
Ikumbukwe Ntobi na Yeriko ni washauri Wakuu wa Mwenyekiti wa Chadema na 2020 walihusika kumpitisha Lisu agombee uRais siyo Kwa sababu ana Sifa bali ndiye mtu pekee ndani ya Chadema aliyekuwa anafanana na Shujaa Magufuli
Sisi CCM tunatembea Vifua mbereeš
Good, lakin kuna ambao hawatompigiaNawenzangu tumeamua tutampigia kura Mbowe.
Africa hakuna uchaguzi Bwasheee ,ni FUTUHI tu ,kwa jinsi watu walivyoichoka SISIEMU Watch_Hundred hata akigombea na Liquid ,liquid anashinda sema ndiyo hivyo ,kura anatangaza mwenyekiti wa tume huru ambaye anateuliwa na RICE.Kwa namna Viongozi wakubwa wa Chadema Mh Ntobi na Mwanasheria Yeriko Nyerere walivyoanika hadharani SIRI za kwanini Tundu Antipas Lisu Hafai kuwa Rais wa JMT ni Wazi Rais Samia hana Mpinzani October anasubiri kuapishwa tu