Na hutumtaki hata awe mwanachama wa kawaida. Aondoke na watu wake
Atachukua chama kilichoko ubeligijiSubiri LISSU achukue chama , mtaelewa tu
Lisu na genge lake kadri siku zinavyosonga mbele wanapungukiwa mbinu za kisiasaHakuna mtu katukanwa kama Mbowe na wanaojiita Team Lisu, lakini katulia hana wasiwasi.
Tizama Team Lisu = Team matusi mnavyohangaika.
Naona ule utabiri wa Shehe Yahya unaenda kutimiaSubiri LISSU achukue chama , mtaelewa tu
Akiongea anaonekana kama MTU mwenye EGO najiuliza Taaluma yake imekaaje kaajeKwa namna Viongozi wakubwa wa Chadema Mh Ntobi na Mwanasheria Yeriko Nyerere walivyoanika hadharani SIRI za kwanini Tundu Antipas Lisu Hafai kuwa Rais wa JMT ni Wazi Rais Samia hana Mpinzani October anasubiri kuapishwa tu
Ikumbukwe Ntobi na Yeriko ni washauri Wakuu wa Mwenyekiti wa Chadema na 2020 walihusika kumpitisha Lisu agombee uRais siyo Kwa sababu ana Sifa bali ndiye mtu pekee ndani ya Chadema aliyekuwa anafanana na Shujaa Magufuli
Sisi CCM tunatembea Vifua mberee😂
Atajijua na watu wake.H
Atachukua chama kilichoko ubeligiji
Wanatafuta mlango wa kutokea.L
Lisu na genge lake kadri siku zinavyosonga mbele wanapungukiwa mbinu za kisiasa
Ukitobomoa ukingo wa mto maji yakachepuka, kuna raia watamwagilia mashamba.Kwa namna Viongozi wakubwa wa Chadema Mh Ntobi na Mwanasheria Yeriko Nyerere walivyoanika hadharani SIRI za kwanini Tundu Antipas Lisu Hafai kuwa Rais wa JMT ni Wazi Rais Samia hana Mpinzani October anasubiri kuapishwa tu
Ikumbukwe Ntobi na Yeriko ni washauri Wakuu wa Mwenyekiti wa Chadema na 2020 walihusika kumpitisha Lisu agombee uRais siyo Kwa sababu ana Sifa bali ndiye mtu pekee ndani ya Chadema aliyekuwa anafanana na Shujaa Magufuli
Sisi CCM tunatembea Vifua mberee😂