Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Akiwa waziri alipambana kulinda rasilimali za umma.
Akazuia wizi wa pesa za umma na barabara zikajengwa.
Alipokuwa rais ni kwa miaka mitano tu aliweza kufanya makubwa . Ili kuenzi makubwa aliyofanya hasa kudhibiti wizi wa mali za umma. Basi ijengwe sanamu mjini chato kulinda heshima na kumbukumbu.