Kila mkuu wa mkoa anaendekea na kufanikisha zoezi hilo na litafanikiwa bila shakaEndapo tungefanikiwa kuanzisha vile mia kwa Kila mkoa,hiyo ingekuwa kama kumsukuma mlevi tu,ila kwa sababu longo longo ilikuwa mingi mingi, sie tusubiri miaka mia mbili ijayo tutakuwanauwezo huo.
Uwezo wa kuanzisha kiwanda hiko tunao by all means necessary.Tuwekeze nguvu huko na tuachane na display za kuvaa barakoa ambazo hata sio N95 ambazo hazikingi dhidi ya corona.Itapingwa sana sana sababu vItakuwa haijathibitishwa na WHO,
Nadhani umesikia Chanjo ya China Juzi ilivyopigwa Kipapai na Nchi z aMagharibi kuwa haifai ina Sijui toxic nk nk!..
Kujipa faraja ni jambo ,la heri,wakati ule propaganda ziliwezekana kutona na mazingira wezeshi yaliyoandaaliwa na kusimamiwa, udhamini umekoma na uwazi unaonekana ukirejea taratibu. Kwa kuanzi tuhoji watuonyeshe viwanda vipya ndani ya mikoa.Kila mkuu wa mkoa anaendekea na kufanikisha zoezi hilo na litafanikiwa bila shaka
Hayo mawazo unayotanguliza ndio kushindwa kwetu,bora ukakubali uwezo huo bado hatunao hata hatuhitaji kufikiria mambo makubwa makubwa,zaidi ya kuwaona wenye mawazo kinzani ama yenye maono ndio sababu ya kushindwa kwetu.Itapingwa sana sana sababuvItakuwa haijathibitishwa na WHO,
Nadhani umesikia Chanjo ya China Juzi ilivyopigwa Kipapai na Nchi z aMagharibi kuwa haifai ina Sijui toxic nk nk!
Ili Chanjo yetu kama ikianzishwa basi Some Ingridients zitoke Kwao Western!
Mi hapo Simo Mkuu!
Nenda Kapambane Mwenyewe hilo[emoji30]
Hio Vita Yake si ya Mchezo!
Tuwaulize wadau wakuu pale afyaHicho kiwanda raw materials zitakuwa ni malimao, pilipili, na nini kingine?
Chanjo yetu kwa ajili yetu, wachina walitaka chanjo yao iingie sokoni ili wapige ela, wazungu hawataki Wachina wapige ela kwa Ugonjwa waliouanzisha wao katika maabara.Itapingwa sana sana sababuvItakuwa haijathibitishwa na WHO, Nadhani umesikia Chanjo ya China Juzi ilivyopigwa Kipapai na Nchi z aMagharibi kuwa haifai ina Sijui toxic nk nk!..
Kuhusu bandari ya bagamoyo ...mimi ni muumini wa kuanzishwa kwa bandari hiyo na sikuanza jana.Ila ni muhimu mkataba uwe na mashiko.Kuhusu Bandari ya Bagamoyo una maoni gani Mkuu?
Kuna Mada moja Nimeona Umetajwa kuna Jamaa eti anasema anakiri eti alikuwa anadanganywa kuhusu mradi,Na Blaa blaa kibao sasa wakakutaja eti na wewe unaomba Msamaha kwa kuukataa mradi Mwanzoni
Unasemaje kuhusu Hilo Kaka jingalao
Hao wanafanikiwa kwakuwa wanajua nini wanacho kihitaji,nao huwa siasa ni siasa,taaluma ni taaluma,na sayansi ni sayansi na wamewekeza kwa jasho na damu.Sio siye kila kitu siasa tena ile isiyokuwa safi.Nchi zenye msimamo wa kimapinduzi hazikubali chanjo za nchi za nje hasa nchi za magharibi. Ona cuba wamekuja na chanjo yao. Ona urusi ona china. Wote wamejuja na chanjo yao. Chama cha mapindizi chini ya samia wanatishia usalama sasa. Bora ccm ya samia ibadili jina maana samia inaelekea anatupeleka hatarini kuamini nchi za magharibi za kibeberu. Huko ulaya na marekani hofu inaonyeshwa kuhusu chanjo na wataalam kwamba watu wanakufa kutokana na chanjo ila hii serikali ya samia wanaonyesha kila dalili kutaka kuingia kichwakichwa. Samia inaelekea hana uwezo wa kuhoji kama magufuli au anampango na ni mshiriki kwenye hizi hila za ubeberu wa covid 19.
Tuwe na chanjo yetu vingine tujikimge kama tulivyofanya kwa mafanikio hadi sasa.
Nyungu center sioKwani bupiji sauna haifanyi kazi ? No retreat no surrender ndio njia pekee ya kumuenzi tukomae na kujifukizisha achana na hizo habari za chanjo🤣🤸🐒View attachment 1832640
Kwani uwezo huo upoje?ni sh ngapi kuanzisha kiwanda hiko?Hayo mawazo unayotanguliza ndio kushindwa kwetu,bora ukakubali uwezo huo bado hatunao hata hatuhitaji kufikiria mambo makubwa makubwa,zaidi ya kuwaona wenye mawazo kinzani ama yenye maono ndio sababu ya kushindwa kwetu.