Kila mkuu wa mkoa anaendekea na kufanikisha zoezi hilo na litafanikiwa bila shaka
Tukaze mafuvu tujifukizishe tu, Jafo atupe muongozo wa season three tuanze kazi...hatupoi🤣Nyungu center sio
Hakianzishwi tu,kwa kuwa hela ipo,kuna zaidi ya pesa. Ili kufanya kinacho tarajiwa,ikiwa no pamoja na mazingira wezeshi na rafiki,kisheria,kisayansi na kitekinologia.Kwani uwezo huo upoje?ni sh ngapi kuanzisha kiwanda hiko?
Kwani bupiji sauna haifanyi kazi ? No retreat no surrender ndio njia pekee ya kumuenzi tukomae na kujifukizisha achana na hizo habari za chanjo🤣🤸🐒View attachment 1832640
uliwahi kuona commeny yangu yoyoye kuhusu nyungu?
Hii biashara ya legacy cjui maninini ya mngeachana nayo. Saiz ni panga pangua mpka NCHI ikae sawa. Ni vyema mkaunga mkono juhudi 🤣🤣Ni muhimu kumuenzi Hayati Dr John Pombe Magufuli kwa kuharakisha mchakato na utekelezaji wa kuanzisha kiwanda cha chanjo.
Third wave ya covid 19 ipo around ni vyema wataalamu wetu waje na mpango wa haraka/dharura wa kuanzisha kiwanda cha chanjo hasa tukianza na chanjo ya covid 19.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Tuanzie viwanda mia kila mkoa.legacy lazima iwepo mkuu kama hipendi jinyonge
Huyu muuaji, mporaji na mtekaji usimtaje taje. Anaweza kufufuka akatutesa tena.Ni muhimu kumuenzi Hayati Dr John Pombe Magufuli
Ndani ya siku 100 unaambiwa mama kaupiga mwingi na kuivunja vunja legasi....mpaka bandari ya bagamoyo kairudisha ....akiongeza 100 nyingine sijui itakuajelegacy lazima iwepo mkuu kama hipendi jinyonge
Nitaendekea kumtaja siku zote ...he did his part and he might have had some mistakes which can be rectified.Huyu muuaji, mporaji na mtekaji usimtaje taje. Anaweza kufufuka akatutesa tena.
BTW, mwendazake hakuwa muumini wa modern medicine, alielekeza tupambane na korona kwa njia za kishirikina kama kujifukiza.
Itapingwa sana sana sababuvItakuwa haijathibitishwa na WHO,
Nadhani umesikia Chanjo ya China Juzi ilivyopigwa Kipapai na Nchi z aMagharibi kuwa haifai ina Sijui toxic nk nk!
Ili Chanjo yetu kama ikianzishwa basi Some Ingridients zitoke Kwao Western!
Mi hapo Simo Mkuu!
Nenda Kapambane Mwenyewe hilo[emoji30]
Hio Vita Yake si ya Mchezo!
Kwa kutumia wataalamu wetu au ikibidi wapelekwe kujifunza lakini nia lazima iwepoSio kwamba itapingwa tu bila sababu mkuu.
Itapingwa kwa sababu haitakuwa scientific based. Sisi tumeshazoea mambo rahisi unachanganya zako mbilimbi na kitunguu saumu unasema ni dawa ya covid 19.
Jiulize kwani ile chai ya Madagascar iliishia wapi. WHO waliipinga kwa sababu ulikuwa ni mzaha kwenye matibabu. Na ule mzaha umejifia wenyewe. Wameshajiagizia chanjo za magharibi.😀
Ndo hiyo tunaitafuna mdogo mdogolegacy lazima iwepo mkuu kama hipendi jinyonge