Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kwa jinsi karata zilivyochezwa walijua huyu jamaa atakuwa kama jina lake pole pole kumbe kawa kasi kasi sasa na mbinu alizotumia.
Usijeshangaa tanzania itagoma kupeleka balozi au hata mtu kwenda huko kukawa kikwazo wakijua ndio watu wanapata ujasiri na kuwa ubobevu ambao leo idara zilizotakiwa kudeal na kasi kasi zote zipo kantini zinajiuliza wao kuwa washamba.
Sasa twende cuba wanetu tukapate mafunzo ya cheguvara