Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Huo ndiyo ukweli wenyewe, hatuwezi kupractice demokrasia ya kutelewa kwa kulazimishwa, hata siku moja,
Tukumbuke demokrasia hii ililetwa kwa bakora hapa barani kwetu Africa, bakora iliyotumika kwa wakati huo ni usipokubali kuipokea basi hutapata misaada popote katika nchi za kibeberu, mnyonge Afrika akakosa namna ikamlazimu aingie tu alimradi liwalo na liwe.
Afrika hapo awali ilikuwa na mifumo yake ambayo iliwathamini sana watu au viongozi waaminifu na mabaraza maalumu yalikuwa yakiwapendekeza mtu fulani ni jasiri, mkweli, muhaminifu, ana msimamo hivyo mtu huyu anatufaa, na tumpe uongozi atuongoze, kitu ambacho kiliwakera sana mabeberu maana wangelikosa upenyo wa kufitinisha ili kusababisha ghasia, (inflicts & rule) hivyo njia yao sahihi ikaonekana watulazimishie mfumo huu Africa ambao is Unaplicable, kwa nchi zinazojitambua, na kujielewa kwa kina.
Adhima na malengo na matakwa ya nchi za magharibi ni kuendeleza ubabe wao,
Waafrika waelewa wakaupokea mfumo, wakaupractise viceversa, kama mfumo hewa (Illusion democracy) na utaendelezwa ki hewa hewa kwa miongo kadhaa!, alimradi tunakidhi kiu za bwana wakubwa, (tega nikutege)