Nchi yetu ina makao makuu mawili, ina nchi mbili,ina mkoa anapotoka rais,ina nyumbani kabisa anapotoka mkuu.Sasa unakuta huku kote kunatakiwa kuwe na ratiba na pilika nyingi ambazo zinakula muda na gharama nyingi sana.
Msiba ni mkubwa shughuli zote za serikali zinasimama karibu wiki nzima ni heka heka huku na kule yaani ni pilila watu hawalali mpaka mazishi yafanyike watu wanakuwa hawana hamu tena na maisha.
Ninakumbuka msiba fulani ilibidi mama apumzishwe asubiri tu nyumbani kabisa maana pilika ni nyingi mpaka unaona kizunguzungu na pia kumchosha mtu ameshalala milele yaani hizi protocol za kiserikali ni nyingi mpaka basi.
Ushauri kwanini isitafutwe sehemu moja tu ya kumuaga then tuende nyumbani kabisa tukamalize shughuli. Huko sehemu nyingine watoke wawakilishi wa kusindikiza na sisi wengine tutafuatilia kwenye vyombo vya habari.
Hivi sijui ni lazima kufuata haya maprotokali?