Moyibi JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 1,054 Reaction score 701 May 16, 2013 #1 kwa wale ndugu zangu wa mj mambo ni vipi embu...tukumbushane story mbili tatu za pale mjengoni...!! Kwangu mimi nakumbukia life la trench..ful kuruka na mwisho wa siku tunatoa ma t.o..
kwa wale ndugu zangu wa mj mambo ni vipi embu...tukumbushane story mbili tatu za pale mjengoni...!! Kwangu mimi nakumbukia life la trench..ful kuruka na mwisho wa siku tunatoa ma t.o..
Barelawyer Senior Member Joined Oct 11, 2012 Posts 197 Reaction score 71 May 17, 2013 #2 Nenda facebook utawapata kiurahisi hao ndugu zako..!
M mr traders Member Joined Oct 27, 2012 Posts 38 Reaction score 15 May 17, 2013 #3 ha ha ha , mm nakumbuka life hostel ya pale kwa minja na kichawele, enzi hizo napiga tungi pale eagle bar na majengo in.
ha ha ha , mm nakumbuka life hostel ya pale kwa minja na kichawele, enzi hizo napiga tungi pale eagle bar na majengo in.
M Mipale Steve JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 384 Reaction score 43 May 19, 2013 #4 Na wale walev wa banana pale dukan kwa bibi maole wapo kweli?