Kwa ndugu zangu wa majengo~ watoto wa bro. Lyimo mpo !!

Kwa ndugu zangu wa majengo~ watoto wa bro. Lyimo mpo !!

Moyibi

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,054
Reaction score
701
kwa wale ndugu zangu wa mj mambo ni vipi embu...tukumbushane story mbili tatu za pale mjengoni...!! Kwangu mimi nakumbukia life la trench..ful kuruka na mwisho wa siku tunatoa ma t.o..
 
ha ha ha , mm nakumbuka life hostel ya pale kwa minja na kichawele, enzi hizo napiga tungi pale eagle bar na majengo in.
 
Back
Top Bottom