Kwa nia njema tu na kama Mwanamichezo, sishauri Yanga SC leo impange Mayele, Aucho na Fei Toto

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwanini?

Mechi ijayo ya CAFCL ni muhimu na ngumu kwa Yanga SC na kwa Asili ya mpira wa 'Kazi Kazi na Gwaride' wa Ruvu Shooting FC huenda wote au mmoja wao akaumia na kuigharimu Yanga SC ikicheza na Al Hilal FC wikiendi ijayo.
 
Unashauri kama nani? Mwanachama wa Yanga, shabiki wa Yanga! Jukumu la hao wachezaji kupangwa/kutopangwa ni la mwalimu. Hivyo baadaye jitahidi kutulia sehemu nzuri, uwaangalie wananchi.
 
Unashauri kama nani? Mwanachama wa Yanga, shabiki wa Yanga! Jukumu lq hao wachezaji kupangwa/kutopangwa ni la mwalimu. Hivyo baadaye jitahidi kutulia sehemu nzuri, uwaangalie wananchi.
Nitaingalizia Lugalo Hospital ule upande ilipo Mochwari yao kuna Demu ( Afande ) namfukuzia japo alishawahi kunirukisha Kichurachura baada ya kumfanyia Tukio Moja la Kijeuri.

Karibu.....!!!!!
 
365
 
Kwanini?

Mechi ijayo ya CAFCL ni muhimu na ngumu kwa Yanga SC na kwa Asili ya mpira wa 'Kazi Kazi na Gwaride' wa Ruvu Shooting FC huenda wote au mmoja wao akaumia na kuigharimu Yanga SC ikicheza na Al Hilal FC wikiendi ijayo.
Yaani tukose pointi tatu za Ruvu kwa kuhofia mechi ya El Hilal ambayo haitatuongezea kombe lolote?
 
Kwanini?

Mechi ijayo ya CAFCL ni muhimu na ngumu kwa Yanga SC na kwa Asili ya mpira wa 'Kazi Kazi na Gwaride' wa Ruvu Shooting FC huenda wote au mmoja wao akaumia na kuigharimu Yanga SC ikicheza na Al Hilal FC wikiendi ijayo.
Ngoja kwanza ule ushauri wako kwa Big bullet uliishia wapi?
 
Gentamycene AKA Popoma aliyetukuka,huwa a ana connection za kupata umbea Sana,mbona hizo connection hazimsaidii kutoka uswekeni Kawe? Mara anakaa Getto mara vibaka wametaka kumpora Sami,mara wamekata wavu! Why?
 
Sasa wote tukiwa Matajiri ( kama ulivyo Wewe ) nani atamcheka Mwenzake? Maisha yangu ni Duni ( ya Kimasikini ) hivi ili niwe mfano Mwema kwa Wengine wasije ama Kukosea na kuwa kama Mimi.

Hongera zako kwa kuwa Tajiri JamiiForums na Tanzania nzima pamoja na kuwa na Connections kubwa, nyingi na za maana sawa?

Sikujua kumbe wote wanaoishi Uswahilini ( Uswekeni ) na Ghetto ni Masikini tupu? Hongera Kwako unayeishi Ushuani ambako kwa hali yangu Duni ya Kimaisha hata sitegemei kuja kukaa huko nawe Tajiri / nanyi Matajiri.
 
Tukutane Moscow kwa bibi

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom