Kwa niaba ya wanaume wote mikoani hususan Arusha.

babayao255

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2019
Posts
11,632
Reaction score
29,912
Kwa niaba ya wanaume wote mikoani hususan Arusha naomba kutoa tamko kwamba yule mwanaume aliebebwa na maji ya mtaro *siyo mwenzetu*. Yeye alikuwa abiria toka Dar aliekuja kumsamlimia rafiki yake na alikuwa ndo anajiandaa kurudi kwao Dar maeneo ya Yombo Vituka. Wanaume wa mikoani hatubebwi na maji ya mtaroni. Ahsanteni sana
 
Jitu Zima na midevu mpaka kwapani unachukuliwaje na maji ya mtaroni.Kama sio ujinga mtupu.
 
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Dar kuna bahari.

Arusha kuna mbuga. Kwanini mtu hasife maji
 
Asante kwa kujivua lawama niliogopa sana kufikiri kwamba Arusha nayo imekuwaje kama Dar [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Post yako imenichekesha sana
Umetumia nguvu kubwa sana kumkana jamaa kwamba yeye si mwanaume wa Arusha
 
Weka video yake huyo inawezekana alikuja kusalimia tu
 
Mbona alikuwa anasema aisee dingilai jombaaa siamini kama nimesalimika chaliii yang hebu ngoja nipige magoti nimsujidie sir GOD aisee.Sasa hiyo lafudhi ni ya Dar ama Arusha
 
Watu Wa Arusha acheni kutumia nguvu nyingi kujitetea kama HVO haiwezekani kazoea mafuriko ya dar kama ya pale jangwani afu abebwe na maji ya mtaroni hebu mjitathimn why always nyinyi HV alieimba wimbo Wa banana na alievaa sketi sjui dogo nani sjui s anatokea huko
 
mbona chalii anabonga lafudhi za kichuga kabisa
 
Ndio maana alikuwa anakenua kenua meno kwa wale polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…