babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Kwa niaba ya wanaume wote mikoani hususan Arusha naomba kutoa tamko kwamba yule mwanaume aliebebwa na maji ya mtaro *siyo mwenzetu*. Yeye alikuwa abiria toka Dar aliekuja kumsamlimia rafiki yake na alikuwa ndo anajiandaa kurudi kwao Dar maeneo ya Yombo Vituka. Wanaume wa mikoani hatubebwi na maji ya mtaroni. Ahsanteni sana